Jambo hili nililofanya linaweza kunisababishia maambukizi ya HIV?

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,581
Reaction score
462
Ndugu zanguni habari,

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika.

Nisaidieni, je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.

Nawasilisha.
 
Ndugu zanguni habari...naomba uzi huu usiunganishwe na nyuzi zingine maana sina amani Ili nipate Ushauri.

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani ni kawa na Munyonya maziwa, gafla akaniambia ameathilika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemunyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathilika.

Nisaidieni je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.
Nawasiliana
🤣🤣🤣🤣🤣Mzeya karibu kwenye grid ya taifa
 
Kama vidole vyako una vidonda hapo tafuta PEP,japo kama ni muathirika huyo manzi itakua anatumia dawa,kama yupo stage ya UNDETECTED ni ngumu kuambukiza.
 
Duh possibility ya kuambukizwa apo ni ndogo sana unless ana vidonda ziwan n ww kinywani mwako
 
Ndugu zanguni habari...naomba uzi huu usiunganishwe na nyuzi zingine maana sina amani Ili nipate Ushauri.

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani ni kawa na Munyonya maziwa, gafla akaniambia ameathilika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemunyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathilika.

Nisaidieni je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.
Nawasiliana

Si Ukapime ili ujue unachotaka kujua maana hatuwezi jibu kma umepata au haujapata kwa kusoma melezo yako
 
Ndugu zanguni habari...naomba uzi huu usiunganishwe na nyuzi zingine maana sina amani Ili nipate Ushauri.

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani ni kawa na Munyonya maziwa, gafla akaniambia ameathilika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemunyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathilika.

Nisaidieni je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.
Nawasiliana

Inaonekana ulikusudia kumbaka ikabidi atumie njia hiyo kujiokoa. La sivyo ameathirika hivyo kaamua kukuokoa kwa kuwa muwazi.
 
Back
Top Bottom