Jambo hili nililofanya linaweza kunisababishia maambukizi ya HIV?

Ndugu zanguni habari...naomba uzi huu usiunganishwe na nyuzi zingine maana sina amani Ili nipate Ushauri.

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani ni kawa na Munyonya maziwa, gafla akaniambia ameathilika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemunyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathilika.

Nisaidieni je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.
Nawasiliana
Aisee usije ukawa wewe ndo uliharibu kwa yule zainabu mnaijeria?
 
Ndugu zanguni habari...naomba uzi huu usiunganishwe na nyuzi zingine maana sina amani Ili nipate Ushauri.

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani ni kawa na Munyonya maziwa, gafla akaniambia ameathilika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemunyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathilika.

Nisaidieni je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.
Nawasilisha.
Hahaahha alikuibia tu
 
Babu kakuongopea huyo[emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu zanguni habari...naomba uzi huu usiunganishwe na nyuzi zingine maana sina amani Ili nipate Ushauri.

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani ni kawa na Munyonya maziwa, gafla akaniambia ameathilika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemunyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathilika.

Nisaidieni je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.
Nawasilisha.
Hujamalizia kama ukiendelea kumtafuna au uliahirisha pambano
 
Hapo bado haujapata nigga. Fanya maisha mengine, si anatumia ARV?
 
Back
Top Bottom