Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Huyo mbwa wa kiume au kike?Booooooooby! Maaaambo!
Kambwa kangu kanaitwa boby ujue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mbwa wa kiume au kike?Booooooooby! Maaaambo!
Kambwa kangu kanaitwa boby ujue!
Kiume.Huyo mbwa wa kiume au kike?
Marahaba!Mmh, kiume, mmmh,
Marahaba dogo haujambo?
Mkuu mbona unatoa siri za Chama, soon tutakuita kwenye kamati ya maadili..Taarifa imfikie mafuvu mwenyrkiti wa bodi ya wanyetukaji, na wanachama wote wa Chaputa hapa JF..
Vilevile kuna App ya Chaputa inapatikana Playstore waweza kuipakua ili kupata more Infos..
By Afisa habar from Ant Chaputa
[emoji41][emoji41]Marahaba!
We umesameheka ila Huyo nduguyo angekosea angeona shuhuli yake
Booooooooby! Maaaambo!
Kambwa kangu kanaitwa boby ujue!
Nisaidie uwe unamchukua unaenda naye huko international Forum huku anachafua hewa.
Usiniweze wewe ataniweza nani sasa?
Alafu nimekuona kuna kitu nimekumbuka ngoja kwanza... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
aisee aisee aisee... we mtu wewe, acha kumvunja mwenzio moyo kias hichomaelezo mengiiiii!
nyooosha tu paaap!
MI SISIMAMISHI!
Usiniweze wewe ataniweza nani sasa?
Huko intaneshino mnitue maana neshino tuu pamenishinda, nimerudi kijijini kulima matembele. Sitaki kujua nini kinaendelea huko.
Alafu nimekuona kuna kitu nimekumbuka ngoja kwanza... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Bora tu nikae huku namtumbo, na msinipe taarifa za yanayoendelea huko mjini ili haka kauzalendo kangu kadogo kalikobakia kaendelee kwenye matembele tu.Hahah!, si ni mpaka ukalime tembele! [emoji28] [emoji23] [emoji23]
International upo sana tu, ila najua zako ni kimya kimya..[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app