The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM.
Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza maono yake.
Ukijaribu kuhesabu rasilimali watu iliyoko upinzani na rasilimali watu iliyoko ccm utaona Kuna pengo kubwa sana la waziwazi. Halafu hawa walioko upinzani ni wajanja wajanja tu.
Kila mtu aliyeko ccm mwenye chembe chembe za upinzani, basi aidha alishajeruhiwa na viongozi wa upinzani au akienda upinzani atakwaruzana na hao wamiliki wa upinzan.
Tumaini pekee lingebaki kwenye kizazi kipya, lakini Kwa mtazamo wa haraka haraka hata kizazi kipya hakivutiwi sana na siasa za upinzani.
Na hii ndiyo sababu kwenye mkutano wa CCM unaondelea huko Dodoma umekusanya makundi yote ya watu wenye ushawishi mkubwa katika nchi yetu.
No wonder Kila media inaripoti mkutano wa ccm stori zote zinaandika kuhusu ccm.