Jambo la Msingi Kabla ya Kuanza Kilimo ni KULIJUA Shamba Lako!

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu?

Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi!
Leo #RubabaTV tupo Shigagati - Geita Vijijini tukitembelea shamba la mkulima wa mpunga kwa ajili ya:
πŸ§ͺ Kupima udongo
πŸ“ Kupima ukubwa wa shamba
🌾 Kutoa ushauri wa kitaalamu wa kuboresha uzalishaji

Tupo tayari kufika popote ulipo kukusaidia kufanya kilimo chenye tija na faida!

Tuwasiliane sasa:

**#KilimoBiashara #RubabaTV #TanzaniaNaKilimo #WakulimaWaLeo #KilimoTija #KilimoChaKisasa #Geita #Mpunga #Agribusiness #SoilTesting #PrecisionF
 

Attachments

  • PHOTO2.jpg
    1.6 MB · Views: 32
Usipojua ecological pattern pia ni kap Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…