Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,201
Reaction score
16,246
Habari zenu,

Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.

Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.

Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.

Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.

Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.

Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.

Nsemlwa kwa mkumbo, Nyerere, kwalakwacha, kaushalili, buzogwe, mkoani, kinyonto, kapufi street, makanyigio, misunkumelo.

Yaani kila mji una sifa zake Ila hili la kutesa binadamu wenzenu sio poa kabisa.
 
Huyo aliyekuwa anatamba na mke wa mtu kapata alichokitafuta uzuri mwenye mke alikuwa muungwana kumpa notice za awali.

Haya wakapendane kuzimu huko.
 
Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.

Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.
Unachukuwa mke wa mtu halafu unajifanya mwamba! Hili ni la kujitakia mwenyewe ijapokuwa sipendelei mambo ya uchawi.
 
Kuna watu walinasana walipo kuwa kwenye uwanja wa fundi selemala.
 
Wa kawaida yaani hata appetite unakuta haipo sema Sasa ukiwa na njaa unakula kilichopo. Kuna viwanja kidogo Kama empire club,mtaa wa Simba, Serengeti, uwanja wa fisi unapata k ya buku tatu. Ukitaka akushike shike buku tano Ni wewe tu. Huku mke wa mtu hakubali Kama akaolewa yaani basi tu
 
😂😂
Habari zenu,

Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.

Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.

Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.

Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.

Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.

Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.

Nsemlwa kwa mkumbo, Nyerere, kwalakwacha, kaushalili, buzogwe, mkoani, kinyonto, kapufi street, makanyigio, misunkumelo.

Yaani kila mji una sifa zake Ila hili la kutesa binadamu wenzenu sio poa kabisa.
 
Wa kawaida yaani hata appetite unakuta haipo sema Sasa ukiwa na njaa unakula kilichopo. Kuna viwanja kidogo Kama empire club,mtaa wa Simba, Serengeti,uwanja wa fisi unapata k ya buku tatu. Ukitaka akushike shike buku tano Ni wewe tu. Huku mke wa mtu hakubali Kama akaolewa yaani basi tu
Mkuu keisangora hiyo menu ya kushikwa shikwa huku kwetu haipo.
Wanakushika wapi na kwa muda gani?
Huku kwetu Kuna massage Ila Bei ni 50k na kuendelea kwa saa.
 
Back
Top Bottom