Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

Habari zenu,

Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.

Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.

Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.

Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.

Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.

Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.

Nsemlwa kwa mkumbo, Nyerere, kwalakwacha, kaushalili, buzogwe, mkoani, kinyonto, kapufi street, makanyigio, misunkumelo.

Yaani kila mji una sifa zake Ila hili la kutesa binadamu wenzenu sio poa kabisa.
Na nyie Acheni kula wake za watu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu,

Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.

Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.

Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.

Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.

Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.

Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.

Nsemlwa kwa mkumbo, Nyerere, kwalakwacha, kaushalili, buzogwe, mkoani, kinyonto, kapufi street, makanyigio, misunkumelo.

Yaani kila mji una sifa zake Ila hili la kutesa binadamu wenzenu sio poa kabisa.
Na ulivosema huku wamejua Ngj wakuroge! [emoji16]
 
Back
Top Bottom