Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Aisee....Nichukulie Radi ya JERO bro! Nitumie kama attachment PM, niiforward kwa mbaya wangu!
Unachukuwa mke wa mtu halafu unajifanya mwamba! Hili ni la kujitakia mwenyewe ijapokuwa sipendelei mambo ya uchawi.Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.
Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.
Duh..Nichukulie Radi ya JERO bro! Nitumie kama attachment PM, niiforward kwa mbaya wangu!
Wew unaishi wapi? Nyerere? Kasimba au kawajense?
Habari zenu,
Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.
Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.
Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.
Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.
Kuna jamaa hapa amekufa Naona alikuwa anatembea na mke wa mtu yaani anapiga picha wakiwa pamoja anatumiwa mwenye mke.
Alifuatwa Mara tatu kuwa muache mke wangu anajifagilia kuwa kampenda mwenyewe.
Nsemlwa kwa mkumbo, Nyerere, kwalakwacha, kaushalili, buzogwe, mkoani, kinyonto, kapufi street, makanyigio, misunkumelo.
Yaani kila mji una sifa zake Ila hili la kutesa binadamu wenzenu sio poa kabisa.
Anaishi Kwalakwase😂Wew unaishi wapi? Nyerere? Kasimba au kawajense?
Mkuu keisangora hiyo menu ya kushikwa shikwa huku kwetu haipo.Wa kawaida yaani hata appetite unakuta haipo sema Sasa ukiwa na njaa unakula kilichopo. Kuna viwanja kidogo Kama empire club,mtaa wa Simba, Serengeti,uwanja wa fisi unapata k ya buku tatu. Ukitaka akushike shike buku tano Ni wewe tu. Huku mke wa mtu hakubali Kama akaolewa yaani basi tu