Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

Mkuu keisangora hiyo menu ya kushikwa shikwa huku kwetu haipo.
Wanakushika wapi na kwa muda gani?
Huku kwetu Kuna massage Ila Bei ni 50k na kuendelea kwa saa.
Massage kwa lisaa nadhani sitokuwa nimeinjoi angalau two hours na pia iwe na happy ending hapo natoa hela Wala sijivungi
 
Naskia Mtaa wa Simba ehehee kuna Usheitani laivu laivu!
 
kuishi huko nisawa na kuzimu... muokoke tyu...... na Rais hutamwona huko ng'oo
 
Hakuna lolote, mnaendekeza mambo ambayo hayana ushahidi wowote.
 
Kutishana
 
Naskia Mtaa wa Simba ehehee kuna Usheitani laivu laivu!
Kawaida Ila ndio Kuna zile saluni unakandwa mwili na wadada.
Sema Kuna wadada wazuri wazuri wanaofanya kazi sehemu mbalimbali like maduka ya nguo,saluni,bar,hotel n.k Kuna mmoja nilimwambia nahitaji private akaniambia 70k ukiwa ofisini Ni 50k
 
Huyo aliyekuwa anatamba na mke wa mtu kapata alichokitafuta uzuri mwenye mke alikuwa muungwana kumpa notice za awali.

Haya wakapendane kuzimu huko.
Kwa kawaida wafipa hawarushi kombora bila kukuonya
 
Nadhani Tabora mjini inaweza kuongoza, sijui Kama hawa watu kwenye sensa huwa wanahesabiwa, Ila Tabora wamezidi
Nipo Urambo hapa napo sio poa, ukipewa stori zake na wenyeji unaweza kimbia siku hiyo hiyo.
Kuhusu vichaa nako ni wengi aseee
 
Imeandikwa usitamani mwanamke asiye mke wako.

Usitamani mali ya mtu mwingine.


Ukizishika hizo amri utaishi kwa amani sana.
 
Kikawaida mara nyingi sana wachawi huwa wanawake..

Kwa wafipa ni tofauti. Wachawi wengi ni wanaume na wana wivu balaa.. Ukileta shobo Kwa wake na mademu zao wanakunyoosha asubuhi tu.
 
Mtu anayeamini uwepo wa ushirikina karne hii ni zwazwa.
 
Mke wa mtu ni sumu msiwe mnakula wake za watu wazee, bora parangana uwe na wako, imagine mkeo ndiyo analiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…