mimi sielewi ujinga fulani wa kuzungumza nani anamiliki nini , mara rostam ,mara mtoto wa kikwete ana miliki oil kampuni , hchi ni kijiba cha roho FANYA KAZI NA WEWE TOWA AJIRA KWA WATANZANIA WENZIO ,KUNA mdao hata kadiriki kusema BAKHRESA kwanini tajiri ,
PANDA JUU UKAZIBE KAMA UNAUWEZO WA KUFANYA HIVYO hawa watu wanawajibika kwenye taifa hili , compuni kama BAKHRESA ni kampuni pekke ya binafsi iliyotowaajira nyingi kwa watanzania , na ni kampuni no moja inayolipa kodi nchini kuliko kampuni yoyote , usihoji yule kafanya nini jiulize wewe kama MTANZANIA UMECHANGIA NINI KWENYE TAIFA HILI , unao uhuru wa kuandika kwavile hatujaanzisha kukulipisha VAT utaandika hadi utachoka , tumia wakati wako kwa kujigombowa kwenye umasikini na kama umeshindwa maarifa niulize mimi nikupe maarifa ya kujingombowa .