Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
- Thread starter
- #21
Mmiliki wa New Habari ni Rostam, na si mwingine. Ninavyoambiwa na swahiba wangu pale NH ni kwamba hata CEO Bashe hakuwa ameambiwa kabla. jana tu ndiyo aliagizwa alipokee gazeti na waandishi 10.
Sasa Bashe anahaha kumpata Rostam kujua inakuwa vipi? Gazeti limekuja na budget yake?
Sasa Bashe anahaha kumpata Rostam kujua inakuwa vipi? Gazeti limekuja na budget yake?