Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hii Tanzania huwa inanishangaza sana. Likifanyika jambo zuri la kisera au lenye baraka za mawaziri, ridhaa ya Rais, n.k, sifa humiminiwa Raisi na Waziri anaweza hata asitajwe.
Cha ajabu na kushangaza ni pale linapofanyika jambo baya au la hovyo lakini katika mazingira yale yale, watu (hasa MATAGA) huanza kumlaumu na kumshambulia waziri husika huku wakimtetea Rais kwa nguvu zote. Ajabu sana!
Mfano hai ni hili la kuongeza kwa bei ya vifurushi ambapo watu wanaonekana kumshambulia Waziri husika.Swali ni je,hili limefanywa na Waziri peke yake? Halina baraka za Rais (aliepo au aliepita) au baraza zima la mawaziri?
Nashindwa kuwaelewa Watanzania!