Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

Jambo pekee la kulizuia Jeshi kuchukua Nchi halipo kipindi hiki

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi.

Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya pamoja na Visiwa karibu na Taifa la Shelisheli. Jeshi la Uingereza lilikuja kumuokoa Nyerere na Serikali yake kwa sababu Serikali yake haikuwa na tuhuma zozote mbaya kimataifa.

Safari hii Serikali ya CCM haina uungwaji mkono wa Kimataifa wala ndani ya nchi.

Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeilaumu waziwazi Serikali ya CCM kwa namna inavyokiuka haki za Binadamu na kunyanyasa raia wake.

Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Marekani imeisema waziwazi Serikali ya Tanzania chini ya CCM kwa namna inavyokiuka haki za Binadamu kwa kuua na kupoteza watu wanaoikosoa.

Mwaka huu Bunge la Umoja wa Ulaya limeisema waziwazi Serikali ya CCM kwa namna walivyomkamata Tundu Lissu na kumfungulia kesi za uongo. Wamesema wazi Serikali ya Tanzania iache kuwatesa na kuwapoteza watu wanaoikosoa.

Mwaka huu Shirika linaloheshimika dunia nzima kwa kutetea haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema wazi kuhusu Serikali ya CCM kuendesha uchaguzi wa kiini macho huku ilikandamiza upinzani na wanaoikosoa Serikali.

Mwisho mwaka huu Watanzania lwa sauti moja wameikataa Serikali hii ya CCM na matendo yake ya Ufisadi na udhalimu.

Kwa hali ilivyo mwaka huu Jeshi likiamua kuchukuq nchi hata leo hii, lazima litapata uungwaji mkono kuanzia ndani ya nchi na wananchi hadi Kimataifa.

Mungu libariki JWTZ.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Safari hii mpaka hiyo mimba changa itoke. Kutapatapa na kuhangaika kuanzisha mada zisizo na mbele wala nyuma ni kupoteza muda tu.Hakuna kitakachotokea.Paranoia yako na wishful thinking haikupeleki popote.Wewe ni kama wale masalia waliongoja ndege waende Marekani bila passport wala visa.
 
Back
Top Bottom