Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu.

Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi.

CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali waliweza kuiribuni hadi jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na haina shida yeyote.

Jambo pekee ambalo CCM na viongozi wake walilikwepa kwa muda mrefu ni kuwajibishwa. CCM waliweza kukwepa kuwajibishwa kutokana na kutegemea kuishi kwa uongo na uzandiki.

Hatimaye mwaka huu, ngebe zote za kukwepa kuwajibishwa zinaenda kuishia ukingoni.

CCM na Viongozi wao wanaenda kuwajibishwa kimataifa kwa mauaji ya kutisha ya Watanganyika

Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai, kukubali rasmi kufungua Kesi dhidi ya Utawala wa Tanzania ni hatua ya kwanza kubwa inayothibitisha kuwa hatimaye Viongozi na Uongozi wa CCM unaenda kukumbana rasmi na jambo ambalo wamekuwa wakilikwepa kila siku.

Hatimaye Mwenyekiti wa CCM na aliyejipachika Urais wa Tanzania Samia Suluhu anaenda kuwajibishwa tena kijinai kwa mauaji aliyofanya dhidi ya Watanganyika.

Hatimaye waliotumika kwa miaka mingi kulinda ushetani wa CCM yaani wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wanaenda kuwajibishwa rasmi kijinai kwa mauaji ya kutisha dhidi ya Watanganyika.

Huu ni mwanzo mpya kwa Tanganyika. Mungu aufanikishe kwa kweli.
 
Mihemko ya kuandika...
Vp lakini? Unayobwatuka nayo ulisema yangefikia tamati tarehe 29 oct?

Umebaki wewe, ingia barabarani tarehe 9d ili mwili wako utumike kama ushahidi wa hyo unayoita icc
 
Mihemko ya kuandika...
Vp lakini? Unayobwatuka nayo ulisema yangefikia tamati tarehe 29 oct?

Umebaki wewe, ingia barabarani tarehe 9d ili mwili wako utumike kama ushahidi wa hyo unayoita icc
Tulia dawa iwaingie. Si mlizoea vya kuchinja? Uwanja umegeuka sasa.


Na bado. Desemba tisa tinaendelea tulipoishia huku ICC ikiwapika vizuri.
 
naiona TANGANYIKA mpya
 
Mara mwezi wa saba hatoboi, mara wa nane usipite, mara usigombee, mara tarehe 29 sasaiv mara tarehe 9...mtasogea sana
 
Mihemko ya kuandika...
Vp lakini? Unayobwatuka nayo ulisema yangefikia tamati tarehe 29 oct?

Umebaki wewe, ingia barabarani tarehe 9d ili mwili wako utumike kama ushahidi wa hyo unayoita icc
Tulia mama yako amelegea kama mlenda
Alisikiliza wapumbavu kama nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…