Unajua siasa, Wanasiasa wote wanakuwa na plan nzuri za miundo mbinu. Tatizo linakuja kwenye utekelezaji. Hapo ndipo utakapoona viongozi wetu especially in Africa si watekelezaji akiwemo Nyerere.
Kama unataka kumjaji Nyerere kwa nyakati, sawa. Lakini, I hope conclusion yako itakuwa, Nyerere alishindwa kuliondoa taifa ktk ujinga, umskini uliopita mipaka.
Mzee Mwanakijiji, here is an excerp I have taken from wikipedia on Oscar Kabmona, Oscar Kambona - Wikipedia, the free encyclopedia. Kambona advised him to test the ' Ujamaa ' system in a small scale but Mwalimu refused and the results are evident today?..
" After Nyerere came out of seclusion, he publicly thanked Oscar Kambona, whom he called "my colleague," for defusing a potentially dangerous situation.
In fact, when the soldiers remained defiant, it was Oscar Kambona who persuaded Nyerere to seek immediate assistance from the former colonial power, Britain, to suppress the mutiny.
The two leaders had been close political allies and personal friends since the days of the independence struggle when they were the main leaders of the independence movement. In fact, when Kambona got married to a former Miss Tanganyika at a cathedral in London, Nyerere was his best man.
But the two leaders started drifting apart a few years after independence. The first rift occurred in 1964 during the army mutiny, and then in 1965 when Tanzania officially became a one-party state.
As a cabinet member, Oscar Kambona supported the transition to a one-party state but did so reluctantly, only as a team player.
He was opposed to the change because he said there was no mechanism guaranteeing change of government by constitutional means in a country dominated by one party. He also contended that there were no constitutional safeguards to make sure that the country did not drift into dictatorship.
The next split with Nyerere came in February 1967 when Tanzania adopted the Arusha Declaration, an economic and political blueprint for the transformation of Tanzania into a socialist state.
Kambona was opposed to this fundamental change and argued that the government should first launch a pilot scheme to see if the policy was going to work on a national scale......."
Ni sheria gani Nyerere alizivunja nipe mfano mmoja tu kuwa "kulikuwa na Sheria hii, na Nyerere aliivunja hivi au vile.
What do you disagree with on the above article?Ushahidi - Wikipedia!!!!!!!!! Serious?????????
Kuna mahala niliandika hivi:Ni sheria gani Nyerere alizivunja nipe mfano mmoja tu kuwa "kulikuwa na Sheria hii, na Nyerere aliivunja hivi au vile.
Nyerere aliwatisha viongozi waliokuwa chini yake na kuwafanya wamwabudu kama mungu wao. Wale viongozi ambao walisigana naye kama vile Mzee Oscar Kambona, na aliyewahi kuwa Katibu mkuu (secretary general) wa National Union of Tanganyika (NUTA) na baadae kuwa waziri wa kazi Mzee Michale Kamaliza (a polio victim), bila kumsahau mmoja wa wanawake jasiri na mwasisi wa Tanu Bibi Titi Mohammed, hao ni wachache ambao walikiona cha mtema kuni. (Bibi Titi Mohammed alihukumiwa kifungo cha maisha jela, akaja kusamehewa baada ya kutumikia kifungo kwa miaka miwili).
kwenye hii tuhuma alikuwepo pia Gray Likungu Mataka (Mwandishi wa habari), Capt Elia Dustan Lifa Chipaka na mdogo wake John Dustan Lifa Chipaka, Lt Alfred Philip Milinga, William Chacha aliyekuwa ubalozini nchini China na wengine tusio wakumbuka. Hivi kuna anaye juwa hatima yao ilikuwa nini...!? Kassim Hanga, aliye mrudisha Unguja, japokuwa alishauriwa asimrudishe kwa Karume, lakini kama kawaida yake, akamrejesha Unguja, na mwisho wake kila mtu anaujua.
Huyo Nyerere anaye tetewa Enzi ya ufalme wake, alipotaifisha mali za watu na kuzifanya zao, si ndio alikuwa editor -in-chief wa gazeti la Daily News, ambalo lilikuwa linajulikana kwa jina la The Standard kabla ya kufanywa mali ya serikali. (Kuna cha kujifunza hapa). Je nani anajua madhira gani yaliwapata hao wengine kina baba na mama kabwela!?
Huyo ndio Nyerere, Mfalme aliyeweza kutumia ufalme wake kuwanyamazisha wengine. Ila ukiwa Yusi ligi basi wewe umeula sana tu.
Mkuu by the time mwalimu anaondoka madarakani literacy rate in Tanzania ilikuwa one of the highest in Africa, nadhani ya kwanza au ya pili.
View attachment 32526
Mojawapo ya hoja ambazo hatuzikii mara nyingi kwa wale ambao wanambebesha Nyerere lawama na mzigo wa taifa letu kuwa ni yeye ndiye aliyelivuruga ni kuwa Nyerere alipokea taifa lenye hali gani ile Disemba 9, 1961. Tunapoelekea miaka hamsini ya Uhuru wa Tanzania bara na hasa baada ya kupitishwa kwa mpango wa "nane" wa maendeleo chini ya serikali ya CCM ni vizuri kurudi nyuma kabisa tuone tulipoanzia.
Wiki iliyopita niliwaletea sehemu tu ya mapokezi ya Rais Nyerere Ikulu ya Marekani wakati huo chini ya Rais J. F. Kennedy. Mkutano wao ulikuwa ni mwaka 1963. Hata hivyo kabla ya hapo viongozi hao wawili walikuwa na mawasiliano ya karibu sana. Kuelekea Uhuru serikali chini ya Nyerere ilikaa na kuandaa mpango wa miaka mitatu (ambao ndio mpango wa kwanza wa maendeleo) wa taifa huru. Mpango huu ulikuwa na mambo mengi na ulikuwa na lengo moja tu nalo ni kujaribu kuleta taifa hilo changa katika karne ya ishirini.
Uzuri wa mpango huu unatupa mwanga wa hali ilikuwaje 1961 katika Tanganyika na mzigo mkubwa ambao Nyerere alibebeshwa na wananchi wenzake. Tunapojaribu kumhukumu leo hii kuwa aliiacha nchi katika "hali mbaya" - kitu ambacho si cha kweli - ni lazima tujaribu kujibu swali pia nchi aliyoipokea ilikuwaje? Changamoto za taifa changa hilo ilikuwaje (wengine wanafikiria hali ilivyokuwa Dar ndivyo ilivyokuwa mikoani). Hivyo kwa kupitia mpango huu utaweza kupata mwanga kidogo wa hali yetu ya kiuchumi ilikuwaje, kijiografia ilikuwaje na raslimali watu ilikuwaje.
Ukishapitia mpango huu swali moja ni LAZIMA ujiulize: Watendaji wa kutekeleza mpango huu walikuwa watoke wapi? Na je walikuwepo?
Wiki ijayo, inshallah tutaangalia nyaraka za CIA kuhusu Nyerere. Yote hii ni katika kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Please do Enjoy. Kama umepitia mpango "wao" wa maendeleo wa miaka mitano unaweza kulinganisha kitu ambacho naweza kukiita 'motivation' ya mipango hii miwili ni nini. Only then you'll glance (like from a far) the thinking and making of a great leader. Kumbuka hakukuwa na MKUKUTA wala MKURABITA kabla yake.
NB:
1. Nashauri uongeze ukubwa wa PDF wakati unaangalia kwa karibu 700% kuweza kusoma vizuri.
2. Mistari iliyopigwa kwenye kijitabu hiki ni reaction ya serikali ya Marekani walipopitia mpango huu.
False claim. Toa Data in comparison, please.
Kuna mahala niliandika hivi:
Huwezi kuona mkuu, si unajuwa wahenga walisema kuwa kupenda maradhi?Nimesoma lakini sijaona ukisema alivunja sheria gani kama mtu niliyekuwa namjibu amedai.
Hapo ndipo linapokuja suala muhimu la uongozi. CCM inatawala mpaka sasa hivi kwa sababu gani? Jibu Nyerere, ok. Sasa unaona kwamba Nyerere alifanya makosa ktk uongozi kwa wananchi. Nchi sasa hivi inaongozwa na Elite (vigogo) wachache ambao wanabadilishana madaraka kupitia system hiyo iliyoanzishwa na Nyerere (CCM). Makosa ya Nyerere ni kuwanyima haki ya msingi Wananchi wa TZ ambao wengi wao ni maskini. Kama Nyerere angewapa WTZ elimu, knowledge ktk mambo ya research & development, economic prosperity tusingekuwa tulipo sasa hivi.
Alichotuachia Nyerere ni system ya Elite (Vigogo) CCM ambao hawatoweza kutoka madarakani kwa muda mrefu. Tunapoangalia quality za good leader lazima tujue kwamba anafuata misingi ya sheria, heshimu haki za binadamu, maadili mema kwa wananchi wake, Nyerere kafeli ktk hilo.
Primary school only. Vipi kuhusu higher education? compare higher education ya zamani na sasa hivi ili uone ukweli.
Wewe kweli umekamia ubishi hivi nilipokuwa naongelea literacy rate ulifikiri namaanisha nini? By the way do you understand the two critical measurements katika maendeleo ya elimu, Literacy and Numeracy rate? anywayz hebu basi tengeneza swali specific ili na mimi nikupe jibu specific!
Lakini for your information enzi za mwalimu kulikuwa hakuna shule ya serikali ambayo ilikuwa haina madawati, maabara au maktaba. Shule zilikuwa chache lakini bora. Mazengo enzi zile hakuna hata St. Mary's sijui Feza au St. Marian inaweza kufanana nayo so was Mkwawa, Iyunga, Minaki etc. Ukija kwenye vyuo vilikuwa ndiyo vichache lakini bora Dar Tech, TCA, UDSM, Korogwe Teachers College etc. Vyuo vya kilimo kama Uyole wakati ule facilities, mandhari yake na mazingira yake hakuna chuo chochote katika hivi vipya kinaweza kufanana nacho. Na above all wahitimu wote wa vyuo vyote hata sekondari walikuwa wanapata ajira.
Wanafunzi waliohitimu sekondari bila ujuzi walikuwa wanafundishwa specialties zao huko kwenye mashirika yao kulikuwa na chuo cha posta na simu, chuo cha bandari, chuo cha reli etc. Leo ukijiunga Vodacom au Airtel unafundishiwa wapi mambo ya kampuni???? Kwa kuona umuhimu wa hili ndiyo maana Migodi kama Geita na Barrick wamefanya joint venturte kufungua chuo cha ufundi pale Moshi. Some more.....?
Madarasa ya elimu ya watu wazima yalikuwepo na yalikuwa active. Kuna watu walijua kusoma in their late 60's na hiyo ndiyo ili-drive literacy rate kufika to more than 90%. Sasa haya madarasa ya elimu ya watu wazima siku hizi yanaonekana kwenye bajeti na matumizi tu lakini physically hayapo.
Shamu, nina uhakika hujaisoma hii document na kama umeisoma hukuielewa au umeielewa lakini unaogopa tu kuiasi nadhiri yako ya chuki.
Unaposoma au kuhadithiwa jambo ukalielewa utaweza kulitetea, ukikariri hutaweza kueleza hata ulichohadithiwa ni nini.
Tunajadili mpango wa maendeleo kabla ya ujamaa 1967 na wiki ijayo tutafika huko, lakini usituondoe kwenye mada kwa kusema 'amefeli' ukiwa huna mahali unapotuonyesha katika document amefeli wapi.Kama kuna mahali panukuu.
Kama umesoma nyaraka yote utagundua kuwa hakuna kiongozi aliyewekeza kwenye elimu kama Nyerere. Kumbuka ameanza kazi akiwa hana hata makarani. Hakuna hata chuo na shule zilikuwa za kubahatisha.
Pamoja na hayo alikuwa na changamoto nyingi sana na bajeti kidogo sana.
Pg 16 paragraph 1
.........The first course of administrative training was opened in jan 1961 to provide 25 newly recruited Africans..........six month was inadequate........ officers's wife will also receive part time training.
Page 20 paragraph 1: .......site for research has been provided.
Yaani watawala walipewa kozi ya miezi 6 halafu wake zao nao wakapewa part time, just to show you how dire was the situation.
Unaposema 'ellite' CCM walipewa elimu, you're not well informed or ill informed my dear friend. Unamjua mtu anaitwa Mustapha Songambele, basi hapo ndipo ungejua ndani ya TANU kulikuwa hakuna ellite bali watu wenye busara na uzalendo wao.
Akiondoka Nyerere ameacha wasomi katika maelfu, maprofesa ambao wengine hawakupata hata ajira. Soma nyaraka za literacy kama walivyoonyesha waungwana halafu ujiulize unasimamia hoja au basi bora hoja? Unaposema hakuwapa watu elimu sijui unataka nini !
Ukisema research tayari Nyerere alishatenga maeneo na hakuna kiongozi aliyefuata baada ambaye amejenga research institutes yoyote ile. Muhimu, je nchi zilizokuwa na ubepari ziliweza kujenga research institutes zao na zimefanikiwa kiasi gani hapa barani Afrika.
Unaposema neno 'fail' uwe tayari kutuonyesha na kutetea msimamo wako,tutakuheshimu kwasababu kuheshimu mawazo ya watu wengine ndio utamaduni wa JF, lakini ukisema ''fail' na huna hoja mhh !!! kasuku anaweza kufundishwa na kusema hivyo ingawa hawezi kutete kauli yake.
Wakati wa Nyerere!! ukilinganisha na wakati upi na wanani.Shamu;2141761]Wakati wa Nyerere tulikuwa na Negative growth. Study hizi Statistic ili uone ukweli.
Wakati wa Nyerere!! ukilinganisha na wakati upi na wanani.
Angalia hizi Statistic Data ili uone ukweli. Acha Ubishi study hizi data.
Report
EdStats - Country Profiles