Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Mnazingua sana
 
Kwa taarifa yako nchi yetu kuingizwa kwenye anarchy ccm sio chama sahihi cha kuamua hilo. Mpaka tunavyoongea kuna mikataba mingi yenye utata iliyoingiwa na viongozi waandamizi wa ccm na hakuna hata mmoja aliye chukuliwa hatua zaidi ya mikwara.

Ni nani alilazimishwa kuacha kazi zake akalazimishwa kwenda kwenye siasa? Hao waliotuletea siasa za ushindani ni kweli hawana siasa za kipuuzi na wakimaliza uchaguzi wanaendelea na kazi kwani huwapata viongozi wao kihalali. Sio hapa mtu hajachaguliwa eti analazimisha kajenga daraja kwa hela ya Mjapani anataka akae madarakani bila ridhaa ya watu.

Kutembea nchi zima ni halali kisheria ili mradi huvunji sheria na hulazimishi mtu kuacha shughuli zake na kujiunga na chama chako. Ni nani umeona akifanya mikutano nchi nzima Jan- dec. Huu ni utetezi dhaifu. Kila mara tunaona wahubiri wakihubiria waumini wao sehemu za wazi, kuna tofauti gani na hiyo mikutano ya siasa? Ukiishiwa mvuto ndio unaanza kutunga sheria kudhibiti wenye mvuto?
 
Katika mazingira ya box la kura kutokuheshimiwa basi mleta uzi kaja na wazo sahihi la kuwatoa kwa njia ambayo itafanya box la kura kuheshimiwa baada ya kutiana adabu.
Box la kura (ballot box) haliheshimiwi pale tu CHADEMA wanapokosa ushindi, lakini wakipata ushindi ballot box inakuwa imeheshimiwa??
 
Mkuu hata huko msituni hawatafika kabla hawajasambaratishwa kabisa. Hawa watoto wa CHADEMA wanafikiri jeshi la hii nchi ni kama la Somalia, nawaambia hivi, "mtapata tabu sana"!
Hakuna jeshi litakalozidi nguvu za wananchi wewe..... Kasome tena
 
Box la kura (ballot box) haliheshimiwi pale tu CHADEMA wanapokosa ushindi, lakini wakipata ushindi ballot box inakuwa imeheshimiwa??

Tuna ushahidi wa kinacho na kilichoendelea kwenye uchaguzi.
 
Mkuu hata huko msituni hawatafika kabla hawajasambaratishwa kabisa. Hawa watoto wa CHADEMA wanafikiri jeshi la hii nchi ni kama la Somalia, nawaambia hivi, "mtapata tabu sana"!
Hili jeshi limewakomboa Msumbiji,Zimbabwe,Angola,Namibia, kutoka katika mikono ya wakoloni na wabaguzi wa rangi,sasa hawa bawacha watatuchafulia hali ya hewa ya misitu yetu.
 
Mkuu hata huko msituni hawatafika kabla hawajasambaratishwa kabisa. Hawa watoto wa CHADEMA wanafikiri jeshi la hii nchi ni kama la Somalia, nawaambia hivi, "mtapata tabu sana"!

Unadhani jeshi halioni kwamba mnapora kura? Hawako na nyie kwa hivyo, wanangoja tu wananchi walianzishe. Muuibe kura kwa kudhani jeshi litawabeba, basi mjue mmeliwa.
 
Ridhaa ya watu. Hao watu sio wa buyungu na haya majimbo machache, ni wengi.

Hao watu ni wale milioni sita waliompa kura mzee Mamvi na ni wale milioni nane waliompa kura Ngosha.

Nidhamu ni lazima iwepo ili nchi iweze kupiga hatua, zile siasa za kila mtu kutaka kuwa na kibesi kwa kigezo cha demokrasia, hazipo tena.
 
Weka ushahidi siasa inazuiaje kusonga mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…