Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume huwa wanapigana hawapigwi japo cdm naona imekuwa kama mwanamke anapigwa yy kazi kulalamika anasubiri tu et tukiwezeshwe tutaweza na anayekuwezesha ni mwanaume ambaye ndo anakupiga, pigeni tu mpaka waamke tu aidha wajiunge na ccm au waache siasa wakalime,Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Kuitwa legelege ni tusi auNi lini chadema walifanya siasa za kistaarabu? Au zile za kumuita kikwete rais legelege? Zile siasa za kutukana?
Vyama vya upinzani vimeanza kufa ila upinzani unaanza kukuaIv Tanzania bado kuna vyama vya upinzani!!
Ccm Mbele kwa mbele
Hautaleta hasara kwa chadema tu ila pande zote mbili na ndipo kukaa mezani kutafaa ila wakiendelea kulialia kutegemea huruma haitakaa itokee tutaharibu kodi zetu kufanya bongo muvi 2020 mtu atashinda 98% kama sio100%Mkuu mr mkiki kwa hoja hizi inaonekana wewe unachochea vita itokee kati ya CHADEMA na Serikali ya CCM. Hii ni hatari sana ndugu kama imefika mahali mtu unaweza kuandika uzi wa kishari shari kama huu basi hali ni mbaya. Mkuu fahamu kwamba Serikali yoyote ile duniani haiwezi kukubali kirahisi kufanyiwa hujuma unazozipendekeza wewe na halafu ikakaa kimya tu bila kuchukua hatua.
Kuwa makini sana na vitu unavyoandika maana "shari" huzaa "shari". Ushauri wako kwa CHADEMA utawaletea matatizo makubwa kuliko suluhisho.
Mtoa mada yupo vizuri majadiliano yanatokea vipi wakati anayepoteza ni mmoja hivi utajadiliana na mfanyakazi wako ambaye hata ukimfukuza watoto wake ndo watalala njaa, ila itakuwaje kama ukimfukuza unafunga kiwanda japo watoto wake watalala njaa pia hapo lazima mtaheshimiana na kukaa mezaniMkuu unazani MACCM wanataka majadiliano?
Mtoa mada hajamaanisha vita ambavyo ww umeelewa inatakiwa wajipange sio kulalamikia wananchi bila ushahidi wakuleweka,hiv unafikiri ushahidi ukiwepo ambao upo strong mezani hawatakaa?Kwa hiyo wewe mkuu unataka VITA!
Bonge la pointi!Wanaume huwa wanapigana hawapigwi japo cdm naona imekuwa kama mwanamke anapigwa yy kazi kulalamika anasubiri tu et tukiwezeshwe tutaweza na anayekuwezesha ni mwanaume ambaye ndo anakupiga, pigeni tu mpaka waamke tu aidha wajiunge na ccm au waache siasa wakalime,
Walale afu wategemee mungu atafanya miujizaHakuna haja ya kupigana, naomba; Chadema msikubali kuingizwa mkenge na hao!. Yana mwisho!.Mungu anaona,hakuna damu ya mtu inayopotea bure,dhuluma siku zote haiwezi kushinda haki;dunia inaona,Watanzania wa leo siyo wa jana wanaona na ukweli wanaujua. Majibu yapo karibu usiwe na haraka kuweni watulivu.Mungu atawashangaza
Unafikiri mwanajeshi anayeenda vitani anapenda kufa ila unaweza vipi kuua bila kuuliwa hasa kama nikulinda mipaka yakoMkuu hakuna maisha mazuri kama kufa
Hao ni vichaa wachache tu msafara wa mamba haukosi kengeChadema walikuwa wanawapiga wazee watu wazima kisa kuvaa sare za Chama cha Mapinduzi,nimeshuhudia sijahidithiwa.
Na mpaka leo kuna watu wanauchungu sana,basi tu kwasababu ya sheria
Wazee walikuwa wanasukumwa mitaroni na hawa watoto wa Bavicha.
Kwahiyo waendelee kulalamika sio, hiv nawezaje kupanga foleni kupiga kura ambayo najua mshindi ni naniWadai kinachostahili kwa njia ya VITA??? Hakuna namna nyingine ya kutafuta haki bila machafuko???
Naww sasa unataka kuonekana mjinga mwenyewe hiv tunaposema watoto ni taifa la kesho tunamaanisha nnNaomba unitajie hao viongozi wa CDM waliochinjwa jana au juzi tafadhali. Sipendi kujihusisha na longolongo.
Ofcoz ukichagua kupigana lazima ukubali kuumia lasivyo kubali kufua chupi yenye kinyesi au upigwe ngumi ya puaUna uhakika gani kuwa baada ya hiyo VITA wewe au familia yako mtakuwa salama???