Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha


Hivi inapozungumzwa neno "CHADEMA" ni kina nani hasa?
 

Kauli ya kipuuzi sana hii. Kauli ya mtu aliyeshindwa na mwenye uwezo mdogo wa kufikilia
 
Chadema walipewa muda wa kufanya siasa Safi miaka Kumi ya Kikwete hawakuitumia wakawa wanamtukana sana Kikwete Na wakamfanyia mambo kibao ya ubabe kuanzia bungeni,kuchochea migomo Na maandamano ,kuhujumu Serikali within,kumtukana Kikwete nk walichezea shilingi chooni.Wasitarajie tena kuwa yatarudi ya Kikwete bahati haiji mara mbili.
 
Njia pekee na nzuri ni chadema kufungua kesi kwenye mahakama kubwa za kimataifa na kidunia kwani ilitokea IGP au mkuu yeyote wa chombo cha dola akafikishwa kwenye hizo mahakama lazima CCM watazinduka na kuanza kujitafakari
 
Kuna watu wanapaswa waingie kwenye historia na kumbukumbu za taifa hili kwa kuliingiza taifa katika machafuko kwa maslahi binafsi.
Ni wakati chadema waende kwenye mahakama za kimataifa ili viongozi wote wanaotumika kukandamiza Demokrasia wafikishwe mahakamani itasaidia CCM kujitambua.
 
chama kinaenda kupasuka vipande vipande kuna bomu linakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…