Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Ofcoz unaweza kumfunga mbowe lakin unajua wapo wangapi? Unaweza kumkamata huyu utamfunga je unauhakika utakuwa umemaliza haki itachelewa tu mkuu lakini lazima ipatikane yule aliyepo upande wa haki atashinda tu siku moja
 
Hiv unafikiri syria aliibuka tu siku moja wakaanza kupigana? Mkuu siyo leo na inaweza isiwe kesho na labda hatutakuwepo ila wakiendelea hiv? Trust vya upinzani vinaweza kufa lakini upinzani hautakufa
 
Siyo lazima niwepo mie.Je Mkwawa,Mirambo,Kimweri,Bushiri,Kinjekitile waliopambana na mkoloni walikuwepo wakati wa Uhuru?.Askari wanaoenda vitani nani mwenye uhakika wa kurudi hai?
Yule ambaye ushindi utamkuta akiwa hai ndo mshindi wengine ni kafara tu
 
Kwa upande wako unaona hivyo et mh, bd tuna njia ndefu sana
 
Uko sawa 100% inabidi Sisi wenyewe ndio tuwashughulikie kwasababu tunaishi nao, tunalala nao na tunafanya nao kz pmj. Tukiwashughulikia hao hata hizo teuzi watazikimbia
 
Ingekuwa kila mtu anawaza unavyowaza ww uhuru tusingeuona mpaka leo maana hata nyerere hakuwa na shida mfumo ulimfavour lakin alipambana kupata uhuru, unaowasema walishindwa vita kweli lakini ujumbe ulifika na ndo uliotuletea uhuru,
 
Endelea kujidanganya mkuu, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Tena inalo jeshi la ulinzi lililo imara kweli kweli, watu kama ninyi mtashughulikiwa na hamtajua nani amewashughulikia.

Fanyeni siasa, mambo ya vita hamuyawezi hata kidogo.
Endelea kujidanganya
 
Na ndiyo maana inahitajika nguvu ili ushahidi upatikane hata polisi wakupa sulubu pale wanapihitaji ushahidi wakutosha kukushtaki
 
Hujui uliloliandika. Nadhani umaendika ukiwa umekunja ndita. CDM wawe na inteligensia halafu CCM wenye madaraka yote wasiwe nayo!!.
Hujamuelewa nadhani, ni hiv ccm wanayo na wanaitumia alichoshauri ni cdm pia kuwa nayo nakuitumia ili nguvu iwe sawa sio kulalamika tu yaani unaporwa kitu mkononi unabaki kulia ka mtoto mdogo
 
Kwahiyo unachomaanisha mbowe aende ikulu apige magoti aombe jimbo asinyanganywe au sio
 
Kuna Kitu kilicho iangusha CHADEMA ambacho hatukiangalii katika mijadala yetu! Kitu hicho ni pesa! CHADEMA sasa ina ukata mwingi sana kwa sababu hela nyingi iliyokuwa ina ipa kiburi CHADEMA ilikuwa siyo hela halali - sasa myanya hiyo imafungwa! Madawa ya kulevya yamedhibitiwa, mafisadi wamelipa kodi na kufilisika. Hala haitiririki kwa viongozi wa chini wa chama. Wakati huo huo, CCM inaimarisha vitega uchumi vyake na kuongeza wanachama. Kutokana na kukosa hela za kumwaga tu, wanachama wanamwaga manyanga wanakimbia. Hakuna anayenunuliwa wala anayechukia CHADEMA! Hiki chama kilishamiri on wrong foundation! Hela ya ruzuku tu haitoshi kuwafikia viongozi wote wa chadema - hivyo kusema inaibiwa siyo point kubwa ni kwamba zile hela za kumwagwa kutoka TRA, TPA etc. sasa zinajenga nchi awamu hii.
 
Wanasema! Asiekuheshimu mfanyie kitu akuogepe.
 
Wewe Jinga wabadilishe katiba ya chama chao mtu akiingia asitoke iwe kama ndoa ya kanisa
 
kuendelea kuamini ipo siku tutakua na ustaarabu wa kuchaguana bila kuumizana ni uongo wa hali ya juu kabisaaaa!! cha kwanza lazma kila mtu apoteze than wote tukae mezan kutafuta tulichokipoteza
 
Nailed properly
 
kuendelea kuamini ipo siku tutakua na ustaarabu wa kuchaguana bila kuumizana ni uongo wa hali ya juu kabisaaaa!! cha kwanza lazma kila mtu apoteze than wote tukae mezan kutafuta tulichokipoteza
HAHAHAHA wazee wa kutoa UTUMBO hulehuleer.Maneno ya bosi wenu ya kumwaga damu. Mtasubiri sana, Dr Slaa aliwafanyia mentaling mkabadilika kuondoka uanaharakati sasa mko gizani Totoro. Wazee wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…