Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Wanapaswa Kujua wapinzani siasa za sasa ni sawa tupo vitani
 
Kenya keo wanaheshimiana kwa kuwa walionja machungu. Labda ccm wanataka tuonje machumgu ndiyo maana uchokozi umezidi kwa wanasiasa wenzao! Ni hatari sana hii. Tz imepoteza heshima yake kwa kuwa tu wachache wanataka kuhodhi madaraka!
 
Kenya keo wanaheshimiana kwa kuwa walionja machungu. Labda ccm wanataka tuonje machumgu ndiyo maana uchokozi umezidi kwa wanasiasa wenzao! Ni hatari sana hii. Tz imepoteza heshima yake kwa kuwa tu wachache wanataka kuhodhi madaraka!
Hakika
 
"Haki haitolewi kama zawadi. Haki hudaiwa... kwa nguvu, ikibidi." - Marehemu Prof Kighoma Malima

It's been four solid yrs now, lakini watu bado wanalalamika.

Is this the first time?
Would it be the last?

Kulalamika hakujawahi kuwa solution ya tatizo lolote lile. Time to act is now or never.
 
Hakika, tunapaswa kubadilika
 
Huu ni uchochezi 100% Mwenye akili hawezi kubaliana na wewe
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Eti nchi yetu mliipata wapi?
 
Hili ni jambo ambalo tunaweza kutapa ukweli
 
#BREAKINGNEWS:Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe.Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijijini Dodoma, amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Basi nasi kwa undani wa taarifa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…