Mkuu unazani MACCM wanataka majadiliano?Mkuu mr mkiki kwa hoja hizi inaonekana wewe unachochea vita itokee kati ya CHADEMA na Serikali ya CCM. Hii ni hatari sana ndugu kama imefika mahali mtu unaweza kuandika uzi wa kishari shari kama huu basi hali ni mbaya. Mkuu fahamu kwamba Serikali yoyote ile duniani haiwezi kukubali kirahisi kufanyiwa hujuma unazozipendekeza wewe na halafu ikakaa kimya tu bila kuchukua hatua.
Kuwa makini sana na vitu unavyoandika maana "shari" huzaa "shari". Ushauri wako kwa CHADEMA utawaletea matatizo makubwa kuliko suluhisho.
Kwa hiyo wewe mkuu unataka VITA!Mkuu unazani MACCM wanataka majadiliano?
Ila naona kama ushauri wako unabezi zaidi kwenye kuwataka watanzania wasiokubaliana na ccm na serikali yake wawe waoga na wasidai kinachowastahili.Mkuu mr mkiki kwa hoja hizi inaonekana wewe unachochea vita itokee kati ya CHADEMA na Serikali ya CCM. Hii ni hatari sana ndugu kama imefika mahali mtu unaweza kuandika uzi wa kishari shari kama huu basi hali ni mbaya. Mkuu fahamu kwamba Serikali yoyote ile duniani haiwezi kukubali kirahisi kufanyiwa hujuma unazozipendekeza wewe na halafu ikakaa kimya tu bila kuchukua hatua.
Kuwa makini sana na vitu unavyoandika maana "shari" huzaa "shari". Ushauri wako kwa CHADEMA utawaletea matatizo makubwa kuliko suluhisho.
Hakika Mkuu ujinga kama huu uwezi kuukuta nchi zenye ideologyCHADEMA inatakiwa kuanzisha kitengo ‘maalum’ cha ‘kuwashughulika’ na mijitu misaliti kama waitara, mtatiro na ‘wasiojulika’ ili kurudisha heshima kwenye mstari, otherwise wasaliti na wasiojulina watapiga kambi CDM, .........
Dogo yaonekana kama unawahusudu sana watu wa pande za mlimani eeh! Au umechumbiwa pande za Hai? Yaani kijana mwelewa wa calibre yako hustahili kushabikia ukabila hata mara moja kwani hauna maendeleo! Kemea mgawanyiko wa taifa kwanza ili lirejee hali yake ya umoja!Hapo najua watauiliwa na chadema wa Mikoa mingine tu kama ilivyo ada lkn hakuna wa KLM atakayeguswa!
Kwa hiyo wewe mkuu unataka VITA!
Na pia mwambie kijana hakuna maisha mazuri kama kufa.Son of Gamba kwa mfano wewe unadhani njia gari bora itumike wakati njia zote za kidemokrasia zimeshindikana? hili ni jukwaa huru labda utuambie kwa mtazamom wako wewe ni njia gani inafaa? usikimbilie kwenye kutishia vita tu na ukadhani watu wanatishika kaka, weka hapa ni njia gani unadhani wewe zinafaa? mr mkiki nadhani umetumia maneno ya sitiari kidogo kuficha ukakasi wa bandiko lako, lakini kauli nzuri ni kuwa CHADEMA na muungano wote wa vyama watafute mbadala wa njia gani za kukabiliana na Jeshi la polisi. Hio hasa ndio ilikuwa kauli sahihi kutumia. Uchaguzi wa juzi Buyungu mgombea anasema walipelekwa Field Force 400 tena usiku mnene na Katibu mkuu CCM anasema vita ni wakati wote, sasa hapo unadhani kuna nini tena? kwenye bandiko lako ondoa neno intelijensia weka neno "Techniques za kupambana na jeshi la polisi na tume yake"
Son of Gamba kwa mfano wewe unadhani njia gari bora itumike wakati njia zote za kidemokrasia zimeshindikana? hili ni jukwaa huru labda utuambie kwa mtazamom wako wewe ni njia gani inafaa? usikimbilie kwenye kutishia vita tu na ukadhani watu wanatishika kaka, weka hapa ni njia gani unadhani wewe zinafaa? mr mkiki nadhani umetumia maneno ya sitiari kidogo kuficha ukakasi wa bandiko lako, lakini kauli nzuri ni kuwa CHADEMA na muungano wote wa vyama watafute mbadala wa njia gani za kukabiliana na Jeshi la polisi. Hio hasa ndio ilikuwa kauli sahihi kutumia. Uchaguzi wa juzi Buyungu mgombea anasema walipelekwa Field Force 400 tena usiku mnene na Katibu mkuu CCM anasema vita ni wakati wote, sasa hapo unadhani kuna nini tena? kwenye bandiko lako ondoa neno intelijensia weka neno "Techniques za kupambana na jeshi la polisi na tume yake"
Ugaidi sometimes huwa ni matokeo ya kukosekana kwa haki na usawa katika jamii.binafs sasa hivi ndo nimegundua kwann vita zinatokea nchi za wenzetu!!!
sio kwamba watu hawapendi amanii
huwezi ukalazimisha amani kwenye uonevu ulio kithilii
me nadhan wale wa kibiti bora tu warudishe majeshi tena isiwe kibiti tena iwe huku huku center