James Dotto Ngosha 2025 gombea ubunge Chato. Rais Samia atakuteua uwe Waziri wa Fedha

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.

Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.

Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
image_search_1681662976900.jpg
 
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.

Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.

Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
View attachment 2590149
Kuna uzi nilianzisha kuilaumu TISS kwa kusababisha umaskini Tz.

Na siwezi shangaa huyu jamaa kweli akagombea na akawa waziri wa fedha!!

NI AIBU SANA KWA TAIFA.
 
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.

Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.

Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
View attachment 2590217
Hadhina=hazina
Hivi nyie sukuma gang kweli sio watanzania.
Mbona kiswahili chenu cha hovyo hivyo? Au ht shule hamkwenda mlikuwa mnatorokea machungani tu?
 
Alipokuwa katibu wa hadhina Amapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.

Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.

Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
View attachment 2590217

Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.

Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.

Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
View attachment 2590217
Ni Hazina siyo Hadhina hivi mlisomea shule gani!?
 
Back
Top Bottom