James Dotto Ngosha 2025 gombea ubunge Chato. Rais Samia atakuteua uwe Waziri wa Fedha

Mkuu sidhani kama hao ni Wasukuma asilia hao wamejificha kwenye Usukuma.

Wasukuma asili ni watu wapenda amani na kukata miti.
Umesema kweli. Kwa asili yao, wasukuma siyo katili. Wanapenda sana kuchangamana. Na kiasili ni wakweli na wanaopenda sana utani.

Lakini usukumani ndiko walikojaa wahamiaji wengi haramu hasa kutoka Burundi na Rwanda. Wilaya za Sengerema, Chato, Bukombe na baadhi ya wilaya za Tabora, Kigoma na Bukoba (Ngara) ndiko walikojificha. Wakishaweza kuongea tu Kisukuma, wanajiita wasukuma.

Mpaka sasa, tunaye waziri mmoja wizara muhimu kabisa inaongozwa na mtusi wa Burundi. Familia yote ni watusi. Na kupitia yeye, kwa sasa ni kama ukoo wake wote upo Tanzania, wengi akiwajaza machimboni.

Tusipokuwa makini, hawa wageni watatufanya tuwaseme vibaya ndugu zetu wasukuma, watu wasio na neno na yeyote.

Ili kutoleta tafrani katila jamii, ni vema Serikali ikawatambua wahutu na watusi kuwa miongoni mwa makabila ya Tanzania, ili hawa wahamiaji wajitambulishe kwa makabila yao halisi kuliko kujibanza kwa wasukuma, na kuyafanya maovu yao kuhusishwa na kabila la wasukuma.
 
mkuu tuache ukabila basi,
tukemee ukabila,tusiruhusu haya maneno ya kikabila kujaza server,watanzania tunaenda wapi,yaani mtu akataliwe kisa ni kabila fulani,never.
Lakini hawa wahamiaji ni vema wakawa na heshima kwa Tanzania kuliko kuingia nchi ya watu, ukavumiliwa, halafu unataka kupanda juu ya vichwa vya wanaokuvumilia.
 
Mimi sio Mkabila nachotaka Mhutu ajiite Mhutu Msukuma ajiite Msukuma kwanini mtu anajificha kwenye Kabila lingine.

Mchana anaongea Kisukuma wakikutana peke yao usiku wanaongea Kirundi.

Sasa hivi ninaimani wamejaa hadi kwenye Majeshi yetu ya ulinzi.
Yaani unachokisema siyo hadithi. Niliwahi kwenda kwenye familia moja inayojitambulisha ni wasukuma, siku hiyo sijui kulikuwa na tukio gani, kufika pale nilikuta watu wapatao 20, mazungumzo yao yote yalikuwa kwa lugha ya kirundi.

Na yule mwenyeji hakuwa mwongo, alisema wazi kabisa, akasema bwana sisi wote hapa ni watusi ingawa mwenzetu kwa sababu ya nafasi yake Serikalini huwa anajitambulisha kuwa ni msukuma. Halafu akasema, ila mimi hapana. Kila mahali nawaambia kuwa mimi ni mtusi lakini ni Mtanzania.
 
Mkuu Sukuma gang siyo Wasukuma kama kabila
Hilo neno lingebadilishwa. Aheri wangeitwa Tusi Gang.

Kwa asili watusi ni watu wanaopenda sana madaraka. Likifanyika kosa wakajijenga, wenyeji mtapelekwa sebuleni, wao watakaa chumbani.

Nadhani tulishuhudia awamu iliyopita, licha ya hawa wahamiaji kuwa wachache sana nchini lakini waliingizwa wengi Serikalini.
 
Inabidi Mama afanye kazi ya ziadi kuwafagia wote taratibu taratibu. Ukweli Wasukuma kama kabila ni watu poa sana, ila hawa Sukuma gang kama kakikundi ka waouvu ni hatari sana
 
Pumbavu. Shenzi.
 
Umesema kweli. Kwa asili yao, wasukuma siyo katili. Wanapenda sana kuchangamana. Na kiasili ni wakweli na wanaopenda sana utani.

Lakini usukumani ndiko walikojaa wahamiaji wengi haramu hasa kutoka Burundi na Rwanda. Wilaya za Sengerema, Chato, Bukombe na baadhi ya wilaya za Tabora, Kigoma na Bukoba (Ngara) ndiko walikojificha. Wakishaweza kuongea tu Kisukuma, wanajiita wasukuma.

Mpaka sasa, tunaye waziri mmoja wizara muhimu kabisa inaongozwa na mtusi wa Burundi. Familia yote ni watusi. Na kupitia yeye, kwa sasa ni kama ukoo wake wote upo Tanzania, wengi akiwajaza machimboni.

Tusipokuwa makini, hawa wageni watatufanya tuwaseme vibaya ndugu zetu wasukuma, watu wasio na neno na yeyote.

Ili kutoleta tafrani katila jamii, ni vema Serikali ikawatambua wahutu na watusi kuwa miongoni mwa makabila ya Tanzania, ili hawa wahamiaji wajitambulishe kwa makabila yao halisi kuliko kujibanza kwa wasukuma, na kuyafanya maovu yao kuhusishwa na kabila la wasukuma.
D.Biteko? Mbona mnamuandama sana?
 
Back
Top Bottom