PreGE2025 James Kabepele Mwenyekiti wa CHADEMA Tabora, Amekanusha Kusaini Waraka Wa G55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama.

Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora amekanusha kuhusika na waraka huo wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya 'No Reforms No Election', na kusema kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kabepele amesema kuwa waraka huo unaotaja jina lake kama mtia nia wa Jimbo la Igalula, pamoja na saini inayodaiwa kuwa yake, si wa kweli na haukuwahi kupata ridhaa yake.

“Mimi si mtia nia wa jimbo lolote, na sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo. Siwezi kujua nani aliweka saini hiyo kwani ni rahisi kughushi kwa sababu ya nafasi yangu na ushiriki wangu katika vikao mbalimbali vikubwa,” amesema Kabepele.
 
Unabii unasema kila watakachojaribu kupinga Mapenzi ya Bwana watajikuta wanaharibu zaidi
 
Sasa kama kiongozi wa kundi hilo ni huyu chapombe John Mrema unategemea nini kama si utapeli tu,huyu jamaa alikuwa hama plan B ya maisha alitegemea Chadema ndiyo imuendeshee maisha sasa baada ya mabadiliko ya uongozi ndiyo katoka na huu utopolo wa G55 ili wapige helamya CCM. Wameshaanza kukataana hili nyomi la mikutano ya Lissu na Heche limeshawatisha.
 
Attachments

  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 33
Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora amekanusha kuhusika na waraka huo wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya 'No Reforms No Election', na kusema kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.
Duuh
 
Back
Top Bottom