Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Mzee hatalokubali kushindwa kirahisi hivyo ,subiri uone yajayo.G55 wamefeli kabla hawajaanza.
tusicheke na hao Gorrilas55 tutavuna mabuaHuenda saini nyingi zimeghushiwa.
yaleyale ya covid19Ccm akili ndogo sana
Muamala wa nini hapo?Itakuwa muamala haukusoma kwa upande wake.
Lakini inahangaisha miaka na miaka, sio? Hata Sasa huko mliko hata salamu tu lazima muitaje ccmCcm akili ndogo sana
abduli at workMuamala wa nini hapo?
Unabii unasema kila watakachojaribu kupinga Mapenzi ya Bwana watajikuta wanaharibu zaidiMtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama.
Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora amekanusha kuhusika na waraka huo wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya 'No Reforms No Election', na kusema kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kabepele amesema kuwa waraka huo unaotaja jina lake kama mtia nia wa Jimbo la Igalula, pamoja na saini inayodaiwa kuwa yake, si wa kweli na haukuwahi kupata ridhaa yake.
“Mimi si mtia nia wa jimbo lolote, na sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo. Siwezi kujua nani aliweka saini hiyo kwani ni rahisi kughushi kwa sababu ya nafasi yangu na ushiriki wangu katika vikao mbalimbali vikubwa,” amesema Kabepele.
Sasa think tank ni huyu unategemea nini hapoCcm akili ndogo sana
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Wakili Lissu Fungua Kesi dhidi ya G55 ya Kughushi Sahihi ya Kiongozi mwenzako wa chama.
Kuna mtu kasema sio G55, ni Kenge 55tusicheke na hao Gorrilas55 tutavuna mabua
DuuhKabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora amekanusha kuhusika na waraka huo wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya 'No Reforms No Election', na kusema kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.