Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ni kuwapa umuhimu wasiokuwa nao. Sisi tuendelee na kazi tuCHADEMA fungulia kesi hao matapeli kwa kupinga maumuzi ya chama na kughushi sahihi za viongozi. Baada ya hapo ni kutimliwa TU chamani
Lakini ni virus hao ndani ya chama wanaweza kutumia na kile chama Cha kijana kuvuruga utulivu chamani hivyo KUFUKUZWA KWAO LITAKUWA TIBA MUHIMU SANA WAKATI HUU.Ni kuwapa umuhimu wasiokuwa nao. Sisi tuendelee na kazi tu
Hamna huo uwezoLakini ni virus hao ndani ya chama wanaweza kutumia na kile chama Cha kijana kuvuruga utulivu chamani hivyo KUFUKUZWA KWAO LITAKUWA TIBA MUHIMU SANA WAKATI HUU.
Sawa tunatoa moja kwa hiyo itakuwa G54.Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama.
Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora amekanusha kuhusika na waraka huo wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya 'No Reforms No Election', na kusema kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kabepele amesema kuwa waraka huo unaotaja jina lake kama mtia nia wa Jimbo la Igalula, pamoja na saini inayodaiwa kuwa yake, si wa kweli na haukuwahi kupata ridhaa yake.
“Mimi si mtia nia wa jimbo lolote, na sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo. Siwezi kujua nani aliweka saini hiyo kwani ni rahisi kughushi kwa sababu ya nafasi yangu na ushiriki wangu katika vikao mbalimbali vikubwa,” amesema Kabepele.
Huyu huyu John Mrema anatuhumiwa kushiriki kwenye forgery ya nyaraka zilizowapeleka COVID 19 bungeni...Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja wahusika kuwa ni wasaliti wa Chama.
Kabepele ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora amekanusha kuhusika na waraka huo wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya 'No Reforms No Election', na kusema kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kabepele amesema kuwa waraka huo unaotaja jina lake kama mtia nia wa Jimbo la Igalula, pamoja na saini inayodaiwa kuwa yake, si wa kweli na haukuwahi kupata ridhaa yake.
“Mimi si mtia nia wa jimbo lolote, na sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo. Siwezi kujua nani aliweka saini hiyo kwani ni rahisi kughushi kwa sababu ya nafasi yangu na ushiriki wangu katika vikao mbalimbali vikubwa,” amesema Kabepele.
Ila Msajiri kaweka mtego kuna kusaini kanuni za Uchaguzi sasa Chama ambacho hakita saini hakitoshiriki Uchaguzi, hapo hauoni km huo ni mtego?Kuna mtu kasema sio G55, ni Kenge 55
Huo ndio unaita mtego...?Ila Msajiri kaweka mtego kuna kusaini kanuni za Uchaguzi sasa Chama ambacho hakita saini hakitoshiriki Uchaguzi, hapo hauoni km huo ni mtego?
Ya Mozambique si ndio? Likivurugika jamaa anawahi Ubeligiji wewe unawahi wapi?Huo ndio unaita mtego...?
Ni kwanini hamuamini kuwa CHADEMA, wanajua na kuelewa fika kuwa mwaka huu 2025 hakutakuwa na uchaguzi mpaka reforms zifanyike..?
Put that in your head my friend: HAKUNA UCHAGUZI MWAKA HUU 2025...!
Hizo kanuni wakasaini CCM ambao wanaweza kwenda kujishundisha kwenye uchaguzi huo...!
Wengine tunasema, TO HELL NA KANUNI ZAO na hakuna sheria yoyote itakayovunjwa iwapo hawatasaini kanuni hizo...
Mkuu, kama waligushi njia zote za kuwawezesha wanachama 19 wa CDM kuingia Bungeni, unadhani wanaweza kushindwa kwenye hili?Huenda saini nyingi zimeghushiwa.
Mkuu, kesho na kesho kutwa tutawasikia 3 wamejitoa katika hilo kundi kwa madai ya kwamba saini zao zimegushiwa.Sawa tunatoa moja kwa hiyo itakuwa G54.
Maisha yaendelee