James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia amefika Mkoani Mbeya kwa ziara ya kichama na Kupokelewa na RC wa Mkoa huo huku akiahidiwa ulinzi.

Katika ziara yake hiyo ya kichama atafika Busokelo ambako atapokea wanachama wapya wa chama hicho kutoka Chadema.

Ziara hii imekuja baada ya jana kufika ikulu kuteta na Mh. Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM.
 
Hii inaitwa viburi watakula jeuri yao. Ni wakati sasa Mbowe aende ikulu kupiga magoti ili walau aachiwe majimbo hata matano uchaguzi huu. Lakini hii inakera sana why double standards?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…