James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

Heri kuwa masikini huru kuwa tajiri mtumwa, CHADEMA tupo tayari tukose wabunge kuliko kuwasaliti watanzania wenzetu zaidi ya 8m
Namaanisha mbowe aende kulamba miguu ikulu ili abakiziwe walau majibo matano. Wale wote walioenda kulamba wamejihakikishie walau majimbo kadhaa. So kakaako mbowe akiwa jeuri atakula kiburi

In God we Trust
 
Hana shida kama wewe, mbowe ana vyake, mbowe ana wafuasi wa kutosha hivyo hawezi kuramba miguu kama nyinyi kina kajamba nani
Hiyo inaitwa bwashee kala manka.

Mbatia aliwahi kuwa mbunge wa viti maalumu!

Meku Mbowe imekula kwake.

In God we Trust
 
Hana shida kama wewe, mbowe ana vyake, mbowe ana wafuasi wa kutosha hivyo hawezi kuramba miguu kama nyinyi kina kajamba nani

In God we Trust
Hahahaaaa......aendelee kupambana na Ole sabaya.

Mbatia amechagua njia sahihi alipotoka kwa RC Chalamila alimtembelea mbunge Sugu pia!

Maendeleo hayana vyama.
 
Karma is a bit** ,alipotoswa Dr Slaa na kupewa kijiti Lowassa ilisemakana ni mbinu ya kubadili gia angani. Sasa wale wale walioungana na mwenyekiti kubadili gia wanaanza kukimbiana na kuonyesha rangi zao. Mwenyekiti mbowe umeua chama mwenyewe

Na saiz hatuna ajenda ya kuuza... Ile ya ufisadi imekua batili, tunabaki kusema 'demokrasia' inavunjwa... Mwananchi akiambiwa achague demokrasia au elimu bure, unadhani atachagua nini? Mwenyekiti rudisha misingi ya chama, wamekusoma wamekujua... Sasa wanataka kukuletea Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana historia ndefu. CCM waliwahi kumtumia kule Pemba nadhani enzi za Mkapa, wakapata wabunge kadhaa. Lugha anayoongea sasa ni tofauti kabisa na ile ya 2015 enzi za UKAWA. Kitendo cha kupokelewa na mkuu wa mkoa maana yake huyu sasa siyo mpinzani tena kadiri ya Kamusi ya Magufuli. Mbatia rasmi sasa kawekewa VIRUSI vya KORONA. Hafai. La kushangaza ni kwamba inajulikana kabisa kuwa anayebeba na serikali, wananchi watakataa. Lakini bado akina mbatia wamo tu. Au anatafuta kiinua mgongo astaafu siasa?
Daah!!!!!!! "Mama Tanzania"
 
Namaanisha mbowe aende kulamba miguu ikulu ili abakiziwe walau majibo matano. Wale wote walioenda kulamba wamejihakikishie walau majimbo kadhaa. So kakaako mbowe akiwa jeuri atakula kiburi

Cdm haihitaji nafasi za kupewa na Magufuli, hao ambao hawana support ya watu ndio wanapaswa kwenda kujinyenyekeza. Tume huru ya uchaguzi ndio habari ya mjini. Cdm watapata kura za wananchi sio viongozi walevi wa madaraka.
 
Back
Top Bottom