Nadhani atakuwa si mpinzani huyu, anatakiwa kujua adui wa upinzani na chama chake ni CCM, hivyo jitihada zote za vyama vyote zinatakiwa kuelekezwa kwa CCM.
Si Chadema wanao ua wananchi
Si chadema wanao wanyonya wafanyakazi
Si chadema wanao funga biashara za wananchi
Si chadema wanaohujumu maslahi ya wakulima
Kipindi chote hiki binafsi nakiona chama cha CHADEMA kimekuwa cha kwanza angalau kusema matatizo yanayo umiza wananchi na kuguswa kabisa katika mioyo yao ndio maana wako tayari hata kuumizwa kwa ajili ya yetu sote.
God always be with all those who doesnt carry hypocrisy now and for ever.
Sent using
Jamii Forums mobile app