James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

Nadhani atakuwa si mpinzani huyu, anatakiwa kujua adui wa upinzani na chama chake ni CCM, hivyo jitihada zote za vyama vyote zinatakiwa kuelekezwa kwa CCM.

Si Chadema wanao ua wananchi
Si chadema wanao wanyonya wafanyakazi
Si chadema wanao funga biashara za wananchi
Si chadema wanaohujumu maslahi ya wakulima

Kipindi chote hiki binafsi nakiona chama cha CHADEMA kimekuwa cha kwanza angalau kusema matatizo yanayo umiza wananchi na kuguswa kabisa katika mioyo yao ndio maana wako tayari hata kuumizwa kwa ajili ya yetu sote.
God always be with all those who doesnt carry hypocrisy now and for ever. And this will always be the truth!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kufanya umalaya huo kwani hana bei? Mbona alinunulika kwa kumuachia geto lowasa
Kwa Mbowe mtasubiri sana. Hizi siasa za KIMALAYA ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Historia utamkumbuka Magufuli kwa siasa za uwoga, ushamba na UNAFIKI kiasi hiki. Kwa Uchafu aina hiyo, Kikwete anaonekana ni malaika
 
Hivi ilikuwaje mpaka JK akamteuwa kuwa mbunge wa viti maalum.
Jamaa ana historia ndefu. CCM waliwahi kumtumia kule Pemba nadhani enzi za Mkapa, wakapata wabunge kadhaa. Lugha anayoongea sasa ni tofauti kabisa na ile ya 2015 enzi za UKAWA. Kitendo cha kupokelewa na mkuu wa mkoa maana yake huyu sasa siyo mpinzani tena kadiri ya Kamusi ya Magufuli.

Mbatia rasmi sasa kawekewa VIRUSI vya KORONA. Hafai. La kushangaza ni kwamba inajulikana kabisa kuwa anayebeba na serikali, wananchi watakataa. Lakini bado akina mbatia wamo tu. Au anatafuta kiinua mgongo astaafu siasa?
 
Naiona CHADEMA ikiuawa talatibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie watu mnajua siasa? Siku zote makuwadi hudharauliwa na wananchi. Angalia CUF ya Lipumba anayesaidiwa na jeshi la polisi, angalia Magazeti ya Musiba, mie sijawahi ona mtu kanunua. Magufuli mwenyewe anajua kwamba WATANZANIA SIO WAJINGA.
 
Mkakati wa Zitto na Mbowe kususia uchaguzi umetibuliwa na Gwiji wa Siasa wa awamu ya 5, Dr Magufuli

CUF ngangari na NCCR vyama makini kabisa havitasusia uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana historia ndefu. CCM waliwahi kumtumia kule Pemba nadhani enzi za Mkapa, wakapata wabunge kadhaa. Lugha anayoongea sasa ni tofauti kabisa na ile ya 2015 enzi za UKAWA. Kitendo cha kupokelewa na mkuu wa mkoa maana yake huyu sasa siyo mpinzani tena kadiri ya Kamusi ya Magufuli. Mbatia rasmi sasa kawekewa VIRUSI vya KORONA. Hafai.
La kushangaza ni kwamba inajulikana kabisa kuwa anayebeba na serikali, wananchi watakataa. Lakini bado akina mbatia wamo tu. Au anatafuta kiinua mgongo astaafu siasa?
Ana uhakika wa kupata ubunge wa viti maalum November

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbatia nje ya UKAWA ni sawa na samaki nje ya maji

In God we Trust
 
Mbowe siyo size yenu wa kukubali kuramba miguu
Hii inaitwa viburi watakula jeuri yao. Ni wakati sasa Mbowe aende ikulu kupiga magoti ili walau aachiwe majimbo hata matano uchaguzi huu. Lakini hii inakera sana why double standards?

In God we Trust
 
Back
Top Bottom