Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu.
"Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke wangekuwa na utulivu wa fikra, kama mnamuhitaji Gwajima si unamuita? Kuna haja gani ya kutumia mitutu ya bunduki, polisi kwenda kuumiza na wananchi" - James Mbatia
Aidha katika hatua nyingine Mbatia anaeleza kuwa Askofu Gwajima angeweza kuitwa na kujadili makosa yake na pengine kupewa onyo kabla ya kulifungia kanisa hilo