Kufuatwa na bunduki ilikuwa kumfanyia feva. Ilitakiwa afuatwe na battalion kabisa!kwahiyo akiropoka ndiyo afuatwe na bunduki?
Ndio umejibu hoja?Umeniacha hoi, mtu kakonda mpaka kichwa? Kuna kausemi kuwa, "jamaa kakonda kaisha, kimebaki kichwa tu " kama kichwa nacho kimeisha ujui dunia haikutaki.
Ni shetaniJames Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu.
"Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke wangekuwa na utulivu wa fikra, kama mnamuhitaji Gwajima si unamuita? Kuna haja gani ya kutumia mitutu ya bunduki, polisi kwenda kuumiza na wananchi" - James Mbatia
Aidha katika hatua nyingine Mbatia anaeleza kuwa Askofu Gwajima angeweza kuitwa na kujadili makosa yake na pengine kupewa onyo kabla ya kulifungia kanisa hilo
View attachment 3356691
Hii habari clouds wameipindisha Sana, hivi vyombo vyetu vya habari ni shidaJames Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu.