Akishindwa alipishwe gharama zote za kesi akili imkae sawa.Je Uchaguzi wa spika utafanyika?View attachment 2090524
Ukitomea ukiukwaji sherea basi LAZIMA wapelekwe mahakamaniMahakama haiwezi kuliingilia bunge hata Tundu Lisu anajua hilo.
Mbona kama anatwanga maji kwenye kinu bwasheh au wewe unaonajeMahakama haiwezi kuliingilia bunge hata Tundu Lisu anajua hilo.
Unajua amefungua nini? Unajua maana ya kuingilia Bunge?Mahakama haiwezi kuliingilia bunge hata Tundu Lisu anajua hilo.
Hiii hii kwani kuna ingine?Hii au unafikiri itakuwa na majaji wa mchongoMahakama hii hii ya Tanzania ?
Muulize Tundu Lisu na kaka yake!Unajua amefungua nini? Unajua maana ya kuingilia Bunge?
kwa kunyoa ndevu zote,Uchoko una anziaga hapo.
Ndiyo, kwanj vipi?Mahakama hii hii ya Tanzania ?
Nadhani suala hapo sio kushinda kesi bali kuonyesha msimamo wao kuhusu kilichotokea ambacho wanaona kuwa sheria imekiukwa kwa mtazamo wao !!Na wanategemea kushinda hiyo kesi??? hata kama utaratibu haukufuatwa wasitegemee... nafikiri mahakama itatupilia mbali kesi hiyo
Nimeipenda hii
Ndy hii hii ya majaji wanaoteuliwa na mwenyekiti wa maccmMahakama hii hii ya Tanzania ?
Atensheni ya bure tuMahakama hii hii ya Tanzania ?