James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

Namsubiri huyo Jaji atakayeamua kusitishwa kwa zoezi la kumthibitisha Speaker, au aseme Job hakujiuzulu vizuri sijui nini, ndio nitajua kweli upo Mhimili mwingine zaidi ya Serikali, vinginevyo muda si mrefu tutakuwa na Jaji Mkuu mpya Mwanamke, Ohooo!

Kuna Mhimili mmoja umejichimbia chini zaidi.
 
Huyu mzee mbata kavurugwa.
hivi kweli anajielewa huyu mzee?

na akishindwa anaweza kulipa gharama za kesi au ndio anatumia fedha za chama?
wanachama wa NCCR makataeni huyu mzee mbata anafuja fedha za chama.
 
Hamna kesi hapo!! Ndugai ataambiwa na mahakama kama anataka kujiuzulu basi afuate utaratibu wa kikatiba. Hadi sasa ataambiwa hajajiuzulu!!! Kumbuka ataungwa mkono na kambi 69 za wagombea uspika wa ccm waliofanyiwa figisu!!! Usicheze na kitu Ndugai!
 
Na wanategemea kushinda hiyo kesi??? hata kama utaratibu haukufuatwa wasitegemee... nafikiri mahakama itatupilia mbali kesi hiyo
Nadhani suala hapo sio kushinda kesi bali kuonyesha msimamo wao kuhusu kilichotokea ambacho wanaona kuwa sheria imekiukwa kwa mtazamo wao !!
 
Mbatia kwasasa hana kazi zakufanya ubunge kakosa,hanaruzuku,umaarufu unashuka inabidi afanye haya ili abaki kuwa relevant!!
Anajua akijisahau anasahaulika kama Cheyo ama nduguye Mrema.
Unaacha kutetea RAIA unajipeleka mahakamani kumtetea jobuu kweli?
Huyu alomnyima matibabu nakumfukuza mwenzenu alopigwa marisasi!!!
Basi sawa utatokea kwenye kurasa za magazeti usikike!!!
Ujinga ujinga tuu
 


😃😀😄😁😁😆Nakulipa Mimi Umtangaze Mwingine Mshindi!!

 
Back
Top Bottom