Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kuwa na hoja lakini kwa mfumo ulivyo hiyo imeshatoka hatutegemei cha tofautiMwenyekiti wa chama cha Upinzania cha NCCR Mageuzi James Mbatia amefungua kesi ya kupinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania na uteuzi wa mgombea wa uspika wa bunge.
Hayo yanajiri wakati tayari kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM ikiwa imemtangaza Dokta Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika, na chama cha ADC kikimtaja Maimuna Said kuwa mgombea wake, baada ya kiti cha spika kuachwa wazi na Job Ndugai aliyejiuzulu Januari sita mwaka huu.
Ukisikia mwanaume anaingiliwa na wanaume wenzie usitarajie atakuwa na akili nzuri. Msimchukulie Mbatia James seiousSijui ni umbumbumbu wangu wa sheria!!? Naona kama kesi ya Mbatia imekosa mashiko na Mbatia anakosa uhalali wa kuifungua.
Hapa ni sawa na mke/mume aamue kumuacha mume/mke wake halafu jirani akapinge mchakato wa kuachana.
Au mfanyakazi aamue kuacha kazi na mwajiri wake akaridhia, halafu anatokea kidudu mtu apinge mchakato.
Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa
naombeni msaada ktk hili.
Amekikumbatia chama hataki aje mwingine wakati akiwepo yeyeNchi ngumu sana hii
Mbatia kila siku ni mwenyekiti,ukichukua fomu tu unafukuzwa uanachama
Kwa wanamuziki ili wabaki kwenye game wanahitaji wawe na kiki zitakazo wafanya wawe kwenye head line.Sijui ni umbumbumbu wangu wa sheria!!? Naona kama kesi ya Mbatia imekosa mashiko na Mbatia anakosa uhalali wa kuifungua.
Hapa ni sawa na mke/mume aamue kumuacha mume/mke wake halafu jirani akapinge mchakato wa kuachana.
Au mfanyakazi aamue kuacha kazi na mwajiri wake akaridhia, halafu anatokea kidudu mtu apinge mchakato.
Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa
naombeni msaada ktk hili.
Mimi au MbatiaAliye kuambia Tanzania kuna mahakama kakudanganya!
Ngoja tusubiri tuoneAnaweza kuwa na hoja lakini kwa mfumo ulivyo hiyo imeshatoka hatutegemei cha tofauti
Ndio Kazi yake hiyoHuyo chokolet sijui hanaga kazi za kufanya
Huyu ukabwiri unamsumbua,muda wote ananyevuliwanyevuliwa tuNdio Kazi yake hiyo
Sijui ni umbumbumbu wangu wa sheria!!? Naona kama kesi ya Mbatia imekosa mashiko na Mbatia anakosa uhalali wa kuifungua.
Hapa ni sawa na mke/mume aamue kumuacha mume/mke wake halafu jirani akapinge mchakato wa kuachana.
Au mfanyakazi aamue kuacha kazi na mwajiri wake akaridhia, halafu anatokea kidudu mtu apinge mchakato.
Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa
naombeni msaada ktk hili.
Mkuu Sexless , japo sijabahatika kuiona charge sheet, lakini Mbatia has a point.
Ndugu,Mkuu Sexless , japo sijabahatika kuiona charge sheet, lakini Mbatia has a point.
1. Katiba imetoa maelekezo Spika akijiuzu barua anapeleka kwa nani?. Hili halijufanyika!. Why?. Mahakama itajibu.
2. CCM ndio imeliarifu Bunge, na Bunge likakubali!. Who is mightier kati ya Bunge na CCM?. I thought enzi za party supremacy are over!.
3. Kuna watu wamezuiwa kugombea Uspika, wametajwa mawaziri, manaibu mawaziri na viongozi wengine wanaotajwa na katiba. Tulia kagombea bila kwanza kujiuzulu unaibu Spika, kasema Naibu Spika hatatajwa!.
Mahakama itajibu.
P
Hoja yako ni nzuri ila haihusiani na uzi huu.Nchi ngumu sana hii
Mbatia kila siku ni mwenyekiti,ukichukua fomu tu unafukuzwa uanachama
Ni kweli. Ona katika kesi ile ya "MCHONGO"Aliye kuambia Tanzania kuna mahakama kakudanganya!
Matusi si uungwana. Tuangalie hoja ya Mbatia. Je katiba yetu inasemaje juu ya kujiuzulu kwa spika. Ni lazima atangaze hivyo ndani ya bunge mbele ya wabunge na Siwa au anaweza kujiuzulu hata kwenye banda lake la kufugia kuku?Ukisikia mwanaume anaingiliwa na wanaume wenzie usitarajie atakuwa na akili nzuri. Msimchukulie Mbatia James seious
Sitegemei maajabu kwa nchi isiyojali katiba kama hii. Angalia wanavyowakumbatia wale covid 19 pale bungeni.Ndugu,
Wakati wa kesi ya Lissu kuvuliwa ubunge walituthibitishia kuwa kwenye mambo ya msingi, mahakama yetu haiko tayari kugombana na Bunge. Mbunge wa kumrithi Lissu alipokelewa na kuapishwa Bungeni wakati kesi ya kupinga bado iko mahakamani.
Mbatia aendelee na kesi kwa madhumuni ya kuuanika tena muhimili huo uliyokosa aibu. Labda waTz wataanza kufumbuka macho. Amen