James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Mbatia ameongea kweli tupu bila kujali anatoka chama gani ...wote tunashuhudia kwa macho hali umeme ilivyo ,maji nayo yamekuwa shida kila kona yaani hali imerudi kama kipindi cha kikwete... imerudi vile vile,vifaa vya ujenzi ndio useme kabisa

lakini kuna wapuuzi wachache watakwambia ni hali ya kawaida
 
Inasikitisha sana
 
Tusubiri tar 1/June/2022 ndiyo tutajua kama hafanyi kazi?
 
Wanaogopa sana kukosolewa.

Ndugai kasema tu tusikope kaliwa kichwa.

Yule mwenye shule yake ya uongizi kapigwa benchi malawi huko.

Huyu naye wamemstaafisha kwa lazima.

Hizi fake ID tu ndio zinatulinda otherwise wangetupiga risasi wengine.
Inauma sana mkuu
 
Umefafanua vizuri
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,co kwa kujisahaulisha huko
Wanaogopa sana kukosolewa.

Ndugai kasema tu tusikope kaliwa kichwa.

Yule mwenye shule yake ya uongizi kapigwa benchi malawi huko.

Huyu naye wamemstaafisha kwa lazima.

Hizi fake ID tu ndio zinatulinda otherwise wangetupiga risasi wengine.
 
Wanaogopa sana kukosolewa.

Ndugai kasema tu tusikope kaliwa kichwa.

Yule mwenye shule yake ya uongizi kapigwa benchi malawi huko.

Huyu naye wamemstaafisha kwa lazima.

Hizi fake ID tu ndio zinatulinda otherwise wangetupiga risasi wengine.
Ndio mmejua kuwa Demokrasia ya muhimu eeh? kwamba Rais akikosea anatakiwa aelezwe wazi??
Kipindi polepole anaandaa Sheria ya Takwimu, Huduma za Habari, Kuzima bunge live, walikua hawajui Iko siku watahitaji Sheria nzuri Ili Rais akikosea wamrekebishe?

Sheria alizotunga ndio zimekuja kumfinya mwenyewe. Leo hii mnaambiwa katiba mpya muhimu mnatucheka tu. Hiyo 2025 nchi ikishavurugika mtataka kina Bashiru wagombee wamtoe huyu Mama. Mtarudi tena kulialia kuwa tume sio huru.

Siku nyingine mjifunze kwamba wapinzani wanapopinga miswada kandamizi huwa sio kwa faida Yao pekee ila hata Polepole Leo hii anahitaji Ili awe huru kupost video anavyotaka!!!
 
Leo naona akili zimerudi, kimsingi bibi ushungi hajui hata anafanya nini hapa duniani
Acha chuki za kitoto mkuu. Angekuwa hajui anafanya nini asingeongeza mishahara kama anavyofanya. Asingeongeza bajeti ya kilimo kwa mabilioni ya shilingi.

Mnalo tatizo la kutazama jinsia kuliko uwezo wa mtu na ufanisi wake halisi, ni tatizo linalochangia umaskini wetu kutokwisha kwani lipo ndani kabisa ya ubongo wetu.
 
Alikuta petrol 2000 sahivi 33,000, nondo 16000 sasa 26000 ndani ya mwaka mmoja, mafuta alzeti lita 3,000 sahivi 8,000 n.k
 
Alikuta petrol 2000 sahivi 33,000, nondo 16000 sasa 26000 ndani ya mwaka mmoja, mafuta alzeti lita 3,000 sahivi 8,000 n.k
Bei kupanda ndio kanuni za kiuchum zilivyo, huwezi kupandishia watu mishahara halafu wakaendelea kulipia huduma zote kwa bei hizo hizo.

Ni tatizo la kidunia hili halikwepeki. Hakuna maisha mepesi yanayokwenda kwa mujibu wa matakwa ya kila mtu, demand and supply ni somo pana sana ukilielewa vyema hutakuja na hoa za sijui petrol ilikuwa shilingi ngapi na sasa ni shilingi ngapi!.
 
Alafu ruzuku ya nini?
 
Kwa hiyo asingepandisha mshahara bei zisingepanda? Kwa nchi ambazo hazikupandisha mshahara bei za bidhaa zao ziko palepale? Wakati mwingine mnaongea kwa kurumanga sana, yaani upandishe mshahara kwa 23.3% bei ya kipande cha sabuni itoke 300 hadi 800-900?!
 
Sikuwahi kuona kilaza shuleni akipata zero kila somo. 😁 hata kilaza hubahatisha baadhi ya maswali. Fikiri vizuri
 
Mbatia yupo sahii kwa hili maisha mtaani hayaeleweki. Tunauziwa vyakula na mahitaji muhimu ya kila siku,, katika bei ambazo hata nchi zilizopo vitani wanatuonea huruma. Samia Samia Saima. Punguza kuzurura hovyo angalia nchi inavyozama mikononi mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…