Hadi tunavyozalisha nchini vinapanda kwa kasi ya ajabu. Na unaweza kukuta ni hao hao viongozi ndo wanazipenyeza gharama hizi ili kufidia gharama walizopandishia mishahara huku pembeni wakijizolea sifa za kisiasa.Mbatia yupo sahii kwa hili maisha mtaani hayawleweki. Tunauziwa vyakula na mahitaji muhimu ya kila katika bei ambazo hata nchi zilizopo vitani wanatuonea huruma. Samia Samia Saima. Punguza kuzurura hovyo angalia nchi inavyozama mikononi mwako.
Wenye akili mnaopata A tupu mmeamua kuifanya kazi nyepesi sana, kulaumu na kutukana.Sikuwahi kuona kilaza shuleni akipata zero kila somo. 😁 hata kilaza hubahatisha baadhi ya maswali. Fikiri vizuri
Ukweli ni kwamba inflation ni tatizo la dunia nzima. Kumbuka kuwa wafanyakazi walikuwa hawajalipwa mishahara kwa miaka sita.Kwa hiyo asingepandisha mshahara bei zisingepanda? Kwa nchi ambazo hazikupandisha mshahara bei za bidhaa zao ziko palepale? Wakati mwingine mnaongea kwa kurumanga sana, yaani upandishe mshahara kwa 23.3% bei ya kipande cha sabuni itoke 300 hadi 800-900?!
Unaongezewa mshahara elfu 23 alafu vitu vinapanda bei elfu 90Ukweli ni kwamba inflation ni tatizo la dunia nzima. Kumbuka kuwa wafanyakazi walikuwa hawajalipwa mishahara kwa miaka sita.
Kumbuka kuwa Putin na maamuzi yake ya kuivamia Ukraine ameanzisha shida ya mafuta inayotufikia sisi huku.
Kama haya ya kawaida kabisa huwezi kuyaona ukayaelewa basi hakuna wa kukusaidia.
Walikuwa hawajalipwa mishahara miaka 6 bado wako kazini tu?Ukweli ni kwamba inflation ni tatizo la dunia nzima. Kumbuka kuwa wafanyakazi walikuwa hawajalipwa mishahara kwa miaka sita.
Kumbuka kuwa Putin na maamuzi yake ya kuivamia Ukraine ameanzisha shida ya mafuta inayotufikia sisi huku.
Kama haya ya kawaida kabisa huwezi kuyaona ukayaelewa basi hakuna wa kukusaidia.
Inauma sanaWalikuwa hawajalipwa mishahara miaka 6 bado wako kazini tu?
Nchi inakalia kila kitu kitapanda bei hadi visabuni vinavyotoka nchini au nchi jirani kama kenya. Hivi vita vimepandisha mafuta mara 3 ya awali? Mbona lita za mafuta ya kula kutoka 3000 had takriban elfu 9. Tumelalia kwenye vita ili kurudisha serikalini gharama za mishahara iliyopanda na faida juu. TOZO haina manufaa mpaka sasa km haiwezi kupunguza hata mfumuko wa bei.
Hata ya bi tozo ni nyepesi zaidi. Kusafiri bila kutoa hela yako mfukoni we unashindwa? Au kupiga story na piraah huku mkizurura kwenye vivutio vya nchi huku hela ikiingia mfukoni mwako buure we unashindwa? Kuongeza mshahara asilimia 23.3 kwa watu laki 5 huku mfumko wa bei ukileta kodi ya zaidi ya 10% kwa watu zaidi ya milion 60 unashindwa? Wafanyakazi hapo ni kama wameongezewa maji kwenye tenga walilokuwa wakijitahidi kuliziba.Wenye akili mnaopata A tupu mmeamua kuifanya kazi nyepesi sana, kulaumu na kutukana.
Ungejua maisha yalivyopanda nchi kama USA ya dunia ya kwanza kabisa, usingekuja na rundo la malalamiko.Walikuwa hawajalipwa mishahara miaka 6 bado wako kazini tu?
Nchi inakalia kila kitu kitapanda bei hadi visabuni vinavyotoka nchini au nchi jirani kama kenya. Hivi vita vimepandisha mafuta mara 3 ya awali? Mbona lita za mafuta ya kula kutoka 3000 had takriban elfu 9. Tumelalia kwenye vita ili kurudisha serikalini gharama za mishahara iliyopanda na faida juu. TOZO haina manufaa mpaka sasa km haiwezi kupunguza hata mfumuko wa bei.
Ingekuwa ni rahisi kama unavyoongea kwa kebeji leo hii Nsennah angekuwa ikulu anaongoza watanzania.Hata ya bi tozo ni nyepesi zaidi. Kusafiri bila kutoa hela yako mfukoni we unashindwa? Au kupiga story na piraah huku mkizurura kwenye vivutio vya nchi huku hela ikiingia mfukoni mwako buure we unashindwa? Kuongeza mshahara asilimia 23.3 kwa watu laki 5 huku mfumko wa bei ukileta kodi ya zaidi ya 10% kwa watu zaidi ya milion 60 unashindwa? Wafanyakazi hapo ni kama wameongezewa maji kwenye tenga walilokuwa wakijitahidi kuliziba.
Timu gaidi kwenye uzi wa Nccr mageuzi umekuja kutafuta niniBENARD kamilius MEMBE amerejeshewa kadi yake ya uanachama wa CHAMA CHA MAJAMBAZI.
Nape Nauye amesema mungu umeamua ugonvi.
Nape yu sahihi!
Wanaaochukia wafuate ushauri wa ndugu zitto kabwe
🤣🤣Leo naona akili zimerudi, kimsingi bibi ushungi hajui hata anafanya nini hapa duniani
Hiyo sasa ndiyo mistake yake kubwa kisiasa aliyofanya! Inawezekana kwa kujua, kwamba wamekubaliana na wanamtandao au pengine kutokujua. Amejitengenezea upinzani (ndani ya chama, nje ya CCM hamna upinzani) mapema mno, tena kwa kutaja kabisa kwamba anafanya mabadiliko ya Baraza baada ya kuona watu wanafocus 2025! Mnamkumbuka "shati la kijani mwenzio"Mama ameanza mbio kulekea 2025. Huku nyuma hakumhusu
Umenena vyemaHiyo sasa ndiyo mistake yake kubwa kisiasa aliyofanya! Inawezekana kwa kujua, kwamba wamekubaliana na wanamtandao au pengine kutokujua. Amejitengenezea upinzani (ndani ya chama, nje ya CCM hamna upinzani) mapema mno, tena kwa kutaja kabisa kwamba anafanya mabadiliko ya Baraza baada ya kuona watu wanafocus 2025! Mnamkumbuka "shati la kijani mwenzio"
Wale watu watampa shida na ukizingatia muda bado sana. Suala la watu kumchafua JPM bila serikali au chama kukemea nalo ni bomu litakuja kupasika tukikaribia uchaguzi. Wananchi hawajalipokea vizuri, inaonekana tunatakiwa tuende 2025 bila kutaja jina la JPM lakini kuna kila dalili kampeni imefeli.
JPM amechafuliwaje? Lini? Na kwa lipi?Hiyo sasa ndiyo mistake yake kubwa kisiasa aliyofanya! Inawezekana kwa kujua, kwamba wamekubaliana na wanamtandao au pengine kutokujua. Amejitengenezea upinzani (ndani ya chama, nje ya CCM hamna upinzani) mapema mno, tena kwa kutaja kabisa kwamba anafanya mabadiliko ya Baraza baada ya kuona watu wanafocus 2025! Mnamkumbuka "shati la kijani mwenzio"
Wale watu watampa shida na ukizingatia muda bado sana. Suala la watu kumchafua JPM bila serikali au chama kukemea nalo ni bomu litakuja kupasika tukikaribia uchaguzi. Wananchi hawajalipokea vizuri, inaonekana tunatakiwa tuende 2025 bila kutaja jina la JPM lakini kuna kila dalili kampeni imefeli.
Wewe huhitaji hata kujibiwa coz unaonekana upo dunia nyengine kabisa ya wapuuzilandJPM amechafuliwaje? Lini? Na kwa lipi?
Au hisia zako za kukosa pa kusujudu zinakutuma kuona na kuhisi JPM wako anachafuliwa[emoji848][emoji848]
Umri haujaniruhusu kuwa ikulu. Subiri wakati utaongea 😁Ingekuwa ni rahisi kama unavyoongea kwa kebeji leo hii Nsennah angekuwa ikulu anaongoza watanzania.