James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Kuna wanawake wanaweza kuwa viongozi wakuu wa nchi ila sio huyu wa kwetu inept
 
Leo naona akili zimerudi, kimsingi bibi ushungi hajui hata anafanya nini hapa duniani
Anachojua ni kupigania mitala yake tu, kule makunduuchi.. CCM ni janga kwa Taifa.
Unajiuliza viumbe hivi ambavyo vinatutawala Tanzania vinatokea wapi hasa maana havifanani nawatanzania wenyewe, kwa muonekano , kitabia na hata kiroho.
 
Huyu Mama hajawai kua upande wa wananchi, yeye akijitokeza anakua upande wa watendaji wake kuwatetea na kukandamiza upande wa wananchi..

Mawazo yake/yao uwa wanadhani wanawakomesha wapinzani kumbe mpaka wa chama tawala uwa wanakula mminyo huo huo
 
Si anaupiga mwingi huku anakiwakomesha sukuma gang na kuiponya nchi?
 
Anachojua ni kupigania mitala yake tu, kule makunduuchi.. CCM ni janga kwa Taifa.
Unajiuliza viumbe hivi ambavyo vinatutawala Tanzania vinatokea wapi hasa maana havifanani nawatanzania wenyewe, kwa muonekano , kitabia na hata kiroho.
Na bado!
.
Si mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5 nyie?
 
Wanaosifia utendaji wa Samia ni wale wenye connection za maisha na serikali yake maana wananufaika
 
Wewe unakumbuka enzi za Mkapa bei ya sukari ndio tulinunua hivyo, Magufuri anaingia madarakani sukari ilikuwa 1800-2000/ .2015 inaonekana ulikuwa bado unalelewa na shemeji yako.
Wewe unakumbuka enzi za Mkapa bei ya sukari ndio tulinunua hivyo, Magufuri anaingia madarakani sukari ilikuwa 1800-2000/ .2015 inaonekana ulikuwa bado unalelewa na shemeji yako.
Acha ujinga Manka jk kaacha sukari 1,200 alipo ingia JPM week Moja tu vibali vya ungizaji sukari akazuia na baadhi ya meli zilibeba mzigo wa sukari bandarini mzigo wote ulinadishwa na TRA, wafanya biashara wakatiwa umasikini sukari ikapanda hadi 3,000 kichwa chako kina ram ngapi nadhani Mbatia alitaka kusema JK sio JPM
 
Hii ndo Tz inayopendeza. Watu kuitisha vyombo vya habari na kumuwakia raisi aliyeko madarakani. Enzi za JK watu walimuita mpaka dhaifu.
 
Ujinga mtupu mtanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…