James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Ndugu James Mbatia amesahau kuwa kwa miaka 6 nchi ilijielekeza katika ujenzi wa miundombinu tu na mh.Samia amekuja kuweka MIZANI juu ya mambo mengi yaliyoachwa kwa muda mrefu mathalani;

1)Ajira mpya 8000 kupitia TAMISEMI+ WIZARA YA AFYA
2)Kuondoa vikwazo vya kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya.
3)Kuondoa TASK FORCES za ukusanyaji kodi kwa kutumia NGUVU na badala yake kujikita zaidi katika matumizi ya AKILI.

MH.SAMIA ANAIPONYA NCHI

#SiempreJMT
 
Mbatia akili yake ni kama ya mwenyekiti wangu wa board bwana Mtalimbo enzi hizo mimi nikiwa mkurugenzi UNGO-Morogoro. Njaa inawasumbua sana hawa watu wawili.
 
Nyama kinondoni 1KG ni 9,000 TZS
Nitafurahi ifike hata elfu 50 ng'ombe nao wana haki ya kuishi. Binadamu anachofanya sio kabisa. Mbona kuna mbogamboga nyingi tu kama njegere, maharage ya kila aina, kunde, karoti, nyanya chungu, hoho, bilinganya, mlenda, MKUNUNGU nk
 
Ndugu James Mbatia amesahau kuwa kwa miaka 6 nchi ilijielekeza katika ujenzi wa miundombinu tu na mh.Samia amekuja kuweka MIZANI juu ya mambo mengi yaliyoachwa kwa muda mrefu mathalani;

1)Ajira mpya 8000 kupitia TAMISEMI+ WIZARA YA AFYA
2)Kuondoa vikwazo vya kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya.
3)Kuondoa TASK FORCES za ukusanyaji kodi kwa kutumia NGUVU na badala yake kujikita zaidi katika matumizi ya AKILI.

MH.SAMIA ANAIPONYA NCHI

#SiempreJMT
Kuharibu maelfu ya biashara za machinga
 
Kuharibu maelfu ya biashara za machinga
Nchi gani biashara hufanyika kiholela?!!!

Mbona wamachinga hawapangi bidhaa zao mbele ya geti la Magogoni ,Kambi za Jeshi na Muhimbili hospitali?!!!
 
Acha ujinga Manka jk kaacha sukari 1,200 alipo ingia JPM week Moja tu vibali vya ungizaji sukari akazuia na baadhi ya meli zilibeba mzigo wa sukari bandarini mzigo wote ulinadishwa na TRA, wafanya biashara wakatiwa umasikini sukari ikapanda hadi 3,000 kichwa chako kina ram ngapi nadhani Mbatia alitaka kusema JK sio JPM
Kamuulize shemeji yako,sukari 2015 alikuwa ananunua sh ngapi,mkapa kaiacha sukari sh 800-900,Kikwete kaipandisha mpaka 1800-2000, Magufuri kaikuta hapo
 
Wachaga siyo wa kuwaamini labda yule Augustino Lyatonga Mrema!
Ukiona huonwi onwi lazima u-shout ili uitwe mezani.

Hivi vyama vinavyoongozwa na wachagga, kaa mbali.

Utauzwa dakika sifuri nyingi sana.
 
Ni kwa taratibu mpaka akili ziwakae sawa, mara anaupiga mwingi leo mna neno jipya hapo...!
 
Back
Top Bottom