Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafurahi ifike hata elfu 50 ng'ombe nao wana haki ya kuishi. Binadamu anachofanya sio kabisa. Mbona kuna mbogamboga nyingi tu kama njegere, maharage ya kila aina, kunde, karoti, nyanya chungu, hoho, bilinganya, mlenda, MKUNUNGU nkNyama kinondoni 1KG ni 9,000 TZS
Kuharibu maelfu ya biashara za machingaNdugu James Mbatia amesahau kuwa kwa miaka 6 nchi ilijielekeza katika ujenzi wa miundombinu tu na mh.Samia amekuja kuweka MIZANI juu ya mambo mengi yaliyoachwa kwa muda mrefu mathalani;
1)Ajira mpya 8000 kupitia TAMISEMI+ WIZARA YA AFYA
2)Kuondoa vikwazo vya kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya.
3)Kuondoa TASK FORCES za ukusanyaji kodi kwa kutumia NGUVU na badala yake kujikita zaidi katika matumizi ya AKILI.
MH.SAMIA ANAIPONYA NCHI
#SiempreJMT
Nchi gani biashara hufanyika kiholela?!!!Kuharibu maelfu ya biashara za machinga
Kamuulize shemeji yako,sukari 2015 alikuwa ananunua sh ngapi,mkapa kaiacha sukari sh 800-900,Kikwete kaipandisha mpaka 1800-2000, Magufuri kaikuta hapoAcha ujinga Manka jk kaacha sukari 1,200 alipo ingia JPM week Moja tu vibali vya ungizaji sukari akazuia na baadhi ya meli zilibeba mzigo wa sukari bandarini mzigo wote ulinadishwa na TRA, wafanya biashara wakatiwa umasikini sukari ikapanda hadi 3,000 kichwa chako kina ram ngapi nadhani Mbatia alitaka kusema JK sio JPM
Hakuna mtu anaweza muwakia Rais, hizo porojo mpelekee shemeji yako ili nae ampelekee moto dadako.Amewakiwa sasa
Wewe unajua?Leo naona akili zimerudi, kimsingi bibi ushungi hajui hata anafanya nini hapa duniani
Ukiona huonwi onwi lazima u-shout ili uitwe mezani.Wachaga siyo wa kuwaamini labda yule Augustino Lyatonga Mrema!
[emoji23][emoji23]......Mama Tanzania.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee Mrema ameshajichokea sasa.Wachaga siyo wa kuwaamini labda yule Augustino Lyatonga Mrema!
......Mama Tanzania.....
😂😂😂😂
Stupidity is....