James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Na bado!
.
Si mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5 nyie?
Sawa, Nini tofauti , labda ni jinsia tu.Mama yenu ni sehemu ya maharamia wa HAYAWANI Magufuli LAANAKUM. Hakuna jipya.
Endeleeni kutesa na kuua watu , hamna shida Bibie ,, kwa raha zenu ehee.
 
Gas bei juu
Vifaa vya ujenzi bei juu
Mafuta bei juu
Nauli zimepanda
 
Sio unafiki. Penye ukweli lazima tuseme tuu.
Mama kashaharibu sana
 
My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.

Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?

Hivi tutaacha lini unafiki?
Kwa hiyo wewe jamaa kama umebahatika kuwa na familia ikitokea mwanafamilia aliyekuwa anafanya vizuri kakosea hutamuonya/kumkemea kisa tu ulimsifia alipofanya vizuri?
 
Ukweli ni kuwa Samia hakujipanga kuwa rais wa nchi, anafikiri kuongoza nchi ni sawa na kuongoza taasisi kama WAMA
 
Hakuna wakumuwakia RAIS katika nchi hii, HAYUPO NA HATOTOKEA. HATA CDF HAWEZI KUMVIMBIA RAIS
 
Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Kwahiyo unataka ashushe bei yeye? Huu UKICHAA wako peleke UFIPA.
 
Tu muacheni Maza amalizie term yake..... Ila second term..... Mmmh.
 
Mkuu ushaoa?

Nataka nikupe Dada yangu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…