James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Kuna shida lazima uende hospital ya mkoa au ukachukue kibali kwa mkuu wa mkoa
Hizo taratibu zishishwe Hadi chini hyo kwenda tu mkoani ni upotevu wa mda, inatakiwa kuwe na communication sio kusumbuana umbali mrefu hyo ni kero tupu
 
Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Tanzania Haina visima vya mafuta,Biden kaamuru pipa 50m za mafuta ziingizwe sokoni kupunguza upandaji wa Bei za mafuta na bidhaa zingine,muwe mnafikiri
 
Hizo taratibu zishishwe Hadi chini hyo kwenda tu mkoani ni upotevu wa mda, inatakiwa kuwe na communication sio kusumbuana umbali mrefu hyo ni kero tupu
Bila shaka wewe hauishi hapa Tanzania
 
Tanzania Haina visima vya mafuta,Biden kaamuru pipa 50m za mafuta ziingizwe sokoni kupunguza upandaji wa Bei za mafuta na bidhaa zingine,muwe mnafikiri
Makamba alitumia kodi zetu kwenda Saudi Arabia na akatuahidi mwezi disemba mafuta yatashuka bei
 
Mazuri ni mengi acha waendelee kubanwa mbavu vizuri akili zitawajia maana agenda ilikuwa lissu na ben sanane lakini maisha yalikuwa yanakwenda vizuri sana kwa wananchi wa kawaida
Lissu na Saanane ukiacha kuwa wanasiasa wenzao pia ni binadamu. Hakuna ambaye angetaka yaliyowapa ta yawapate na wao au wengine.Hakuna tatizo hapo.
 
Tujenge road tolls ili gharama za hizi tozo la road toll liko kwenye mafuta
Sawa mkuu ila kuondoa hii tax kutoka kwenye mafuta na kuweka kwenye road toll itapunguza makali kwenye mafuta maana unaweza kujipim
Mchumi uchwara wa jf. Ukiondoa noti ya 10,000 , 5000 na 2000 uchumi utakua?
Always jitahidi kujadili mada sio mchangiaji au mtoa mada!ngoja nikupe mfano mdogo tu,bei ya mafuta inapangwa kutokana na soko la dunia na uimara wa fedha wa nchi husika,kuondoa hizo zero na kuipandikiza sarafu yetu kwenye sarafu imara kutaleta unafuu,hakuna nchi ndani ya SADC yenye bei ya mafuta nafuu kama Botswana,tujifunze wamefanikiwa vipi na hii ni land locked country na haina crude oil,na pia tuambiane ukweli nchi yetu tunazaana mno!its crazy tunaongezeka zaidi ya 3%to 4% hii ni hatari mno na thanks God ametuondolea yule .....aliyesema tuzaaane tu yeye atatunza!UONGO mkubwa.
 
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.

Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.

Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.

My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.

Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?

Hivi tutaacha lini unafiki?


Hivi mkuu na akili zako zote unamuamini mtu anayenyoa nyusi?
 
Wewe unakumbuka enzi za Mkapa bei ya sukari ndio tulinunua hivyo, Magufuri anaingia madarakani sukari ilikuwa 1800-2000/ .2015 inaonekana ulikuwa bado unalelewa na shemeji yako.
Ni kweli kabisa hiyo.
 
Back
Top Bottom