Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama hajajiandikisha alitegemea nini? Aende kushikishwa ukut* huko!Live from ITV Mbatia ameonekana akilalamikia kuzuiwa kupiga kura baada ya jina lake kukosekana kwenye orodha ya wapiga kura.
Hili linaonekana ni tatizo kubwa sana maana wanaonekana wengi kukumbwa na tatizo kama hilo la mbatia.
Siku zote nane alikuwa wapi kuhakiki jina lake?Live from ITV Mbatia ameonekana akilalamikia kuzuiwa kupiga kura baada ya jina lake kukosekana kwenye orodha ya wapiga kura.
Hivi hata Mbatia hakuhakiki kwanza kama jina lake lipo?
Kwani hata kama halipo si itakuwa halipo tu. Usajili haufanyiki. Hujuma wazi wazi.