CHADEMA ni kundi la wapigaji. Hawahitaji siasa kuwasaidia wananchi ni biashara. Wana viongozi wenye Busara ndogo. Ktk jamii zote, wizi ni kosa lisilokubalika, lakini eti Mkiti wa CAHDEMA akiambiwa kaiba, busara ni kunyamaza halafu, anajibiwa na wanaomuunga mkono. Uzuri mwaka huu kuna kila dalili wanapigwa chini!
Ni kawaida boss, kuna wakati nguvu inatumika ili kuondoa watu au mfumo mbovu. Nchi haiwezi kwenda kwa kutegemea kura za wapuuzi wanaompigia mpuuzi mwenzao.Sio kwa kura, bali matumizi mabaya ya madaraka. Tunaoikubali cdm tupo wa kutosha, na hatudanganyiki. Ile 1.5t mpaka leo bado inatuuma.
Ni kawaida boss, kuna wakati nguvu inatumika ili kuondoa watu au mfumo mbovu. Nchi haiwezi kwenda kwa kutegemea kura za wapuuzi wanaompigia mpuuzi mwenzao.
Hili ndio jibu la ulichouliza kutoka kwa Mbatia.Mbatia anabanwa sehemu moja tu, kwanini hayo yote anayolalamika alifanyiwa na Chadema hakusema wakati ule? au aliamua kusubiri na wewe alipe kisasi?!
Sasa leo kinacho-trend about him ni makubaliano yake aliyoingia na Magufuli, kuiba wabunge na madiwani wa Chadema, hayo ya 2003... angeyasema 2003 angeeleweka.
Huyu anatakiwa aonyeshwe kwamba Vunjo sio mapandikizi.. Haja fanya kitu popote sio Kahe tuu.Huyu mbunge wangu lakini acha tuu, hakuna la maana amefanya, kwa sehemu ya jimbo langu labda huko kwengine, kule bara bara ya kwenda kahe night mbovu toka miaka ya huko mbali sana na kule tunafanya kilimo haswa lakini sijawahi sikia jamaa hata Akiongelea hili jambo bungeni ili hata tupate barabara ya kuchonga tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa bure kabisa, hana la maana, bora hata tutawaliwe na ccm tujue mojaHuyu anatakiwa aonyeshwe kwamba Vunjo sio mapandikizi.. Haja fanya kitu popote sio Kahe tuu.
Kama ni kurudi bungeni arudishwe kwa biti vya wavaa sketi. Sio kwa sanduku la kura..
Salaam Wakuu,
Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania.
Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini.
Ameanza kwa kusema:
View attachment 1469145
"Mimi ni Mbunge wa Vunjo, umewahi kunisikia nalalamikia labda CHADEMA kwanini wameweka Mgombea kule Vunjo?
Niwe mkweli tu. Uchaguzi mkuu mwaka 2015 vyama Vingine viliweka Wagombea na wao tumo ndani ya UKAWA tukagawana zile kura za Madiwani CCM ikashinda, ulisikia nmelalamika?
Mwaka juzi nlimwambia Naibu Katibu Mkuu Bara Elizabeth kawaulize Washirika Wenzetu kwanini wanafanya fujo kule Vunjo? Alipowauliza wakasema Mbatia amezoea kudekadeka sana. Ulisikia nalalamika popote?
Ni haki yao na ni haki ya chama kilicho sajiliwa kina haki ya kufanya kazi mahali popote pale.
Mwasisi namba moja wa NCCR Mageuzi mwenye chama Mabere Nyaucho Marando alihamia CHADEMA ulisikia nalalamika popote? Kwanza nliulizwa nikawambia namtakia kila la heri, ni haki yake. Mwesigwa Baregu, ni haki yake.
Nakuhakikishia ukweli wa Mungu Chacha Wangwe akiwa Diwani wa NCCR Mageuzi Tarime Mjini 2003, walienda Viongozi wa CHADEMA wakamchukua wakamfanya Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA na wakati yupo NCCR Mageuzi na hatukumfukuza chama. aliendelea kuwa DIWANI"
Mwisho wa kumnukuu.
MY TAKE:
Vya vya siasa vya Tanzania vimetawaliwa na UBINAFSI, KIBURI, KUJIONA BORA na JICHO KWENYE FEDHA ZA BURE.
yaani sio fair kabisa
Huyo Mbatia anajushuku tu. Anatakiwa afanye kazi aliyotumwa na ccm kwa ufanisi, vinginevyo arudishe hela.
Mbati usalama wake upo kwenye kusapot CHADEMA tu kinyume na hapo asifike kabisa Moshi.Noma sana. Kuna wapinzani hawataki wapinzani wenzao wafanye siasa za upinzani. Nadhani mwenye nguvu na mbinu apite tu.
Anachosema wasubiri nao dawa iwaingieMbatia anabanwa sehemu moja tu, kwanini hayo yote anayolalamika alifanyiwa na Chadema hakusema wakati ule? au aliamua kusubiri na wewe alipe kisasi?!
Sasa leo kinacho-trend about him ni makubaliano yake aliyoingia na Magufuli, kuiba wabunge na madiwani wa Chadema, hayo ya 2003... angeyasema 2003 angeeleweka.
Hivi mtu ni bidhaa anaibwa tu?Mbatia anabanwa sehemu moja tu, kwanini hayo yote anayolalamika alifanyiwa na Chadema hakusema wakati ule? au aliamua kusubiri na wewe alipe kisasi?!
Sasa leo kinacho-trend about him ni makubaliano yake aliyoingia na Magufuli, kuiba wabunge na madiwani wa Chadema, hayo ya 2003... angeyasema 2003 angeeleweka.
Inua ubora wa Upinzani, basi! Huwezi kuruhusu kila mjinga aliye na wafuasi atake kutawala nchi. Never!Tunaposema kuwa huwa mnategemea nguvu kukaa madarakani, inakuwaje mishipa ya shingo inawatoka kwa kulazimisha kuwa mnakubalika?
Inua ubora wa Upinzani, basi! Huwezi kuruhusu kila mjinga aliye na wafuasi atake kutawala nchi. Never!