James Mbatia: CHADEMA wamenifanyia fujo kwenye chama changu na jimboni kwangu wakati wote tupo UKAWA, ulisikia nalalamika?

Mpinzani gani, hawamu hii toka ishike hatamu, hana kesi ya uchochezi, hajawahi fungwa, hajawahi vunjwa hata kidole na anafanya siasa majukwaani bila kuzongwa na polisi?. 😡😡😡😡
 
Tuinue ubora wa upinzani kwa vigezo vya kiccm!
Boss, hapa siyo suala la CHADEMA na CCM. Vyama ni vingi siyo viwili. Wengi tunapenda kuwe na checks and balances. CCM ni wema kwa sababu ya upinzani kuwazoza. Lakini upinzani unatakiwa usioneshe uhuni pia.

Vigezo tunavyo sisi wananchi ambao hatuhitaji kuwa wansiasa. Tunaposikia Mbowe kaiba ruzuku, kaiba michango, kateua viti maalumu kwa mahitaji yake, n.k. si mara moja wala mbili, kila anayetoka CDM tatizo hilo analitaja. Eti busara ya Mbowe ni kunyamaza, which is highest order of stupidity! Unaponyamazia wizi, tunaanza kuona ni upinzani wa kihuni tu na hiyo inapelekea wengine kusema bora hata CCM tunawajua.
 
Tuinue ubora wa upinzani kwa vigezo vya kiccm!
Hatimaye utaelewa maana ya kuinua ubora wa upinzani. Mkiti wa chama anahangaika mitaani usiku wa manane wakati yuko shughuli za Bunge zinazohitaji mtu kuwa makini na kazi zake, na nyendo zake.
 
Hatimaye utaelewa maana ya kuinua ubora wa upinzani. Mkiti wa chama anahangaika mitaani usiku wa manane wakati yuko shughuli za Bunge zinazohitaji mtu kuwa makini na kazi zake, na nyendo zake.

Mbowe sio mtoto wa shule useme hakuwa domitory wakati wa usiku, na kama ni pombe hakuanza kunywa jana, na hatakaa aache. Kama ni kukutana na majanga tatizo halikuwa usiku, maana Lisu alishambuliwa mchana kweupe. Hicho chama kimefikia hapo kilipo akiwa na tabia hiyo hiyo, kama hiyo tabia hiyo ndio kikwazo cha chama kukuwa, basi ndani ya miaka 16 yake ya uenyekiti, hakikupaswa kuwa hapo. Ni hivi, huenda una point za msingi, lakini unakosa maneno sahihi ya kuwakilisha pointi zako, hivyo kajipange upya.
 
Mbowe inasemekana hafai uongozi kwa sababu ka-over stay kwenye uenyekiti wa cdm, huyu mbatia yy haja over stay hapo nccr? bia yetu,kawe alumni,jingalao njooni na jibu.
 
Hujaelewa! Sijadili chama kukuwa wala kuungwa mkono, wala kupendwa na marafiki zake wala kuacha ulevi. Nionacho hana sifa ya kuwa kiongozi wa nchi. Aongoze anaowaongoza hilo siyo kosa. Hata Nyumbu na quelea-quelea na njiwa wana viongozi.
 
Hujaelewa! Sijadili chama kukuwa wala kuungwa mkono, wala kupendwa na marafiki zake wala kuacha ulevi. Nionacho hana sifa ya kuwa kiongozi wa nchi. Aongoze anaowaongoza hilo siyo kosa. Hata Nyumbu na quelea-quelea na njia wana viongozi.

Ni wapi Mbowe kautaka urais? Au unaanza kuokoteza hoja?
 
Hujaelewa! Sijadili chama kukuwa wala kuungwa mkono, wala kupendwa na marafiki zake wala kuacha ulevi. Nionacho hana sifa ya kuwa kiongozi wa nchi. Aongoze anaowaongoza hilo siyo kosa. Hata Nyumbu na quelea-quelea na njia wana viongozi.
Saa kadhaa kabla ya ngazi kugoma kubeba walevi
 
Lakini Mbatia apa ulienda ikulu kufuata Nini? Apa Tena kama kama huna ukamerooon Hivi wewe na Bashite mna ukewenza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…