Tetesi: James Mbatia kuhamia CHADEMA

Tetesi: James Mbatia kuhamia CHADEMA

Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.

Zaidi yatakujia hapa hapa.
Hata huku kwetu Kijijini Rubambagwe tumezikia hizo habari. Na inasemekana huenda akachukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti baada ya aliyepo kugoma kurudi nchini.
 
Sijui waliona nini kwake, labda anawasaidia. Huwa naona kama hana ushawishi...hata kumsikiliza inaboa

Either way, Mbatia ni miongoni mwa watu wachache wanaoufanya uzi mwembamba wa demokrasia yetu kuendelea kustahimili.
 
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.

Zaidi yatakujia hapa hapa.
wewe kufa kunakunyemelea, Mungu ataamua ugomvi kama alivuoamua wa jitu lile
 
Ni vizuri kwani ataongeza nguvu kwa Chadema.
Na kama ni kweli ninaamini baadhi ya wanachama atahama na yy.
 
Back
Top Bottom