Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hata huku kwetu Kijijini Rubambagwe tumezikia hizo habari. Na inasemekana huenda akachukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti baada ya aliyepo kugoma kurudi nchini.Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa hapa.