Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hata huku kwetu Kijijini Rubambagwe tumezikia hizo habari. Na inasemekana huenda akachukua nafasi ya Makamu Mwenyekiti baada ya aliyepo kugoma kurudi nchini.Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa hapa.
Erythrocyte kuna ukweli kwenye hili?Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa
Kama alivyompindua Mrema na yeye anapita njia ile ileMbatia, madawa yake yamekwisha nguvu...
Sijui waliona nini kwake, labda anawasaidia. Huwa naona kama hana ushawishi...hata kumsikiliza inaboa
Mbatia na Kikwete hawajakutana Jalalani kama Kabudi na Magufuli"Rais kikwete kwanini umemteua Mbatia kuwa mbunge viti maalum wakati sio mwanamke?" By lyatonga mrema
wewe kufa kunakunyemelea, Mungu ataamua ugomvi kama alivuoamua wa jitu lileNi taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa hapa.
Kesho utambulishowewe kufa kunakunyemelea, Mungu ataamua ugomvi kama alivuoamua wa jitu lile
Nadhani anaangushwa na chama chake, akiwa vyama vikubwa Mbatia si mtu wa kubezwaHuyu mtu hanaga mvuto wa kisiasa sijui kwanini
HahahaPandikizi la ccm (kama Mbatia) huwa linang'olewa na ccm wenyewe.
Hahaha, umenikumbusha mbali sana. Tanzanian politics is a mockery"Rais kikwete kwanini umemteua Mbatia kuwa mbunge viti maalum wakati sio mwanamke?" By lyatonga mrema
Kazi ipoNi taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.
Zaidi yatakujia hapa hapa.
Anapenda kulia lia sana...mama TanzaniaHuyu mtu hanaga mvuto wa kisiasa sijui kwanini