Tetesi: James Mbatia kuhamia CHADEMA

Tetesi: James Mbatia kuhamia CHADEMA

Hizi ni hisia wala siyo tetesi.

Mbatia tahamia ccm ama ataanzisha chama chake kipya.

Hawezi kuhamia kwenye chama (chadema) ambacho alitumia uwezo wake wote na nguvu zake zote kukihujumu mwaka 2020
 
"Rais kikwete kwanini umemteua Mbatia kuwa mbunge viti maalum wakati sio mwanamke?" By lyatonga mrema
Pandikizi la ccm (kama Mbatia) huwa linang'olewa na ccm wenyewe.
 
Wametoka kina Katambi anaingia Mbatia ? Umafia huu ungekua unatumika kwenye uchumi Nchi ingekua mbali sana
 
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi kwamba aliyekuwa mwenyekiti wa Nccr Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema

Zaidi yatakujia hapa hapa....
NCCR washalamba asali hawezi kumbakiza mbatia ambae ni chaguo la mwendazake.


Kuja Chadema sikatai Ila yaliyotokea 2020. Slaa na lipumba kujiuzulu ili CCM ishinde ni tabu Sana. Politicians wetu ni Malaya Malaya Sana hawana uzalendo hata kidogo. Wanachoangalia ni matumbo Yao Tu.



Amin usiamini utakuja shangaa mbowe anaanzisha mgogoro ndani ya chama ilimradi kuipa nafasi CCM 2025/2030 achaneni na kitu kinaitwa asali aka BIiions of money.
 
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.

Zaidi yatakujia hapa hapa.
AENDE UMOJA PARTY aungane na Humphrey Polepole na Bashiru arudi Cuf
 
Ni taarifa zisizo rasmi lakini zinasambaa kwa kasi, kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Eng. James Mbatia yuko mbioni kuhamia Chadema.

Zaidi yatakujia hapa hapa.
Chadema wamukatae huyo ni afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom