Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi.
Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro na hofu zinazoendelea nchini hivi sasa katika nyanja mbalimbali. Mbatia ameeleza kuwa migogoro na hofu inayoendelea nchini inatupeleka pabaya.
